Vuguvugu la mapinduzi lanukia Urusi. Wagner group yafarakana na vikosi vya serikali. Askari watanda miji yote mikubwa. Putin kuongea muda mfupi

Vuguvugu la mapinduzi lanukia Urusi. Wagner group yafarakana na vikosi vya serikali. Askari watanda miji yote mikubwa. Putin kuongea muda mfupi

Ikidhibitika!?, kumbe hata wewe huna uhakika?,
Siyo mimi, namaanisha Ukraine.

Kwenye masuala ya kivita, kuungana na ambaye mwanzoni alikuwa adui yako, ni lazima ujiridhishe hasa kuwa sasa yupo upande wako. La sivyo anaweza kukutumia kufanikisha malengo yake, baadaye akakugeuka na wewe pia.
 
Ninafuatilia kwa karibu,ngoja tuone mwisho wake. Prigo mpishi wa Putin.Ngonja tuone,Wagner kaona haitoshi sasa wanataka kukamatwa Federation?
IMEANDIKWA!
[emoji116][emoji116]
Mark 3:25
[25]na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
 
Hakuna rafiki wa kudumu.

Aliyemwua Patrice Lumumba ni rafiki yake.

Aliyemwua Thomas Sankara, walishirikiana kuupindua utawala uliotangulia.

Aliyemwua Kabila ni mlinzi wake.

Lowasa alikuwa rafiki mkubwa wa Kikwete, baadaye wakawa maadui wakubwa.
Na leo Putin amemuua swahiba wake wa Wagner
 
Hakuna rafiki wa kudumu.

Aliyemwua Patrice Lumumba ni rafiki yake.

Aliyemwua Thomas Sankara, walishirikiana kuupindua utawala uliotangulia.

Aliyemwua Kabila ni mlinzi wake.

Lowasa alikuwa rafiki mkubwa wa Kikwete, baadaye wakawa maadui wakubwa.
ulikuwa mtabiri mkuu..
 
Back
Top Bottom