Mmmh Pole PutinNdio habari zinazojiri huko Urusi. Kiongozi wa Wagner Group kikundi cha wapiganaji binafsi kilichokuwa kinaisaidia Urusi kwenye vita Ukraine amefarakana na waziri wa ulinzi wa Urusi.
Kumekuwa na hali ya hatari kote Urusi na watu kuamriwa kubaki majumbani.
Kiongozi wa Wagner Group anashutumiwa kwa uchochezi dhidi ya serikali na anatafutwa ili ajibu tuhuma dhidi ya kile kilichoitwa jaribio la mapinduzi. Yeye akanusha.
Putin kuongelea hilo muda mfupi ujao.
Kabisa.hali inafanana na ya Sudan
Kundi katili la Rapid force la Rais Omar Albashiri ndio kundi hilo hilo lilitumika kumpindua
kaka vita vya siku hizi si kushambuliana tu kwa mitutu, vita inapiganiwa hasa hasa kwenye makaratasi, michongo. Huyu mzee asipokuwa makini ananyofolewa.Hi vita,inamtafuta Putin.
Hachomoi imeingizwa akaikaliaWatu tulionya since day one , watu wakaendeleza ushabiki , Mzungu anapokutafta huwa ameshakujua nje ndani , uimara wako na udhaifu wako , kimsingi jamaa walimuotea tuu wampeleke mbio ndefu , walijua tuu non stop hustle lazima utepete
Vick...propaganda gani watu wanazipiga?Propaganda tu hizo .
Propaganda hizo,Wagner na Putin ni pete na kidole.hali inafanana na ya Sudan
Kundi katili la Rapid force la Rais Omar Albashiri ndio kundi hilo hilo lilitumika kumpindua
Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini.Vick...propaganda gani watu wanazipiga?View attachment 2667135