Vuguvugu la mapinduzi lanukia Urusi. Wagner group yafarakana na vikosi vya serikali. Askari watanda miji yote mikubwa. Putin kuongea muda mfupi

Western propagandist television
 
Nilishasema Putin atauwawa au kupinduliwa na kunyongwa na watu wake never under estimate power of CIA and Europe intelligent
 
Vita hii itamtesa sana Putin while mataifa rafiki wakimkimbia china anaona jinsi mchezo unachezwa na anaambiwa asijaribu kuigusa Taiwan maana kama ataigusa Taiwan basi ajuwe china haitokuwepo same like jinsi Urusi inaenda kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe kwa ujinga na tamaa ya Ardhi.
 
Watu tulionya since day one , watu wakaendeleza ushabiki , Mzungu anapokutafta huwa ameshakujua nje ndani , uimara wako na udhaifu wako , kimsingi jamaa walimuotea tuu wampeleke mbio ndefu , walijua tuu non stop hustle lazima utepete
Tuliwaambia wakatuita mashoga Kiko wapi[emoji16]
 
Wakimpindua huyo dikteta mwendawazimu itakuwa jambo la maana sana, kusababisha maafa makubwa sana ndani ya hii miaka miwili.
 
Ila nayo huenda ikawa ni mbinu ya kivita ya Putin
 
Ikidhibitika!?, kumbe hata wewe huna uhakika?,
 
Kiongozi wa RSF Kamanda Dagalo alikuwa sio tu msiri Bali Msaidizi makini sana wa Omar Albashiri na wakisaidiana sana kule Darfur lakini ndio huyo huyo alimuangamiza?

unajua kuwa waliomkosa kosa Nyerere 1983 kina Kapteni Maganga ndio hao hao waliomungamiza Iddy Amini?
Propaganda hizo,Wagner na Putin ni pete na kidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…