Ushasema sehemu nyingne!!! Sasa si uende ukanunue mkuu! emWe acha udwanz bei yako bado juu sony Xperia z3 sehemu zingine ni 500 na inashuka
Nakutafutia mkuuHah hah hah ndo faida aysee...af huyu magufuri nae anataka apatie humo humo kwenye biashara zangu...
Hivi bado hilo swala Ni Gumu kwa WATANZANIA.. Na TCRA si Ipo jamani.. we Fika Dukani akikuuzia Mchina Rudi na Polisi
Naomba bei mkuuUshasema sehemu nyingne!!! Sasa si uende ukanunue mkuu! em
Ngoja nikuulize kwnza, kwa faida ya wana JF wote tuambie hiyo sehemu nyingne ni wapi au pale Sony shop Mliman city??? Au kwa jamaa zako wauzao used, simu za wizi na zile za magumashi???
S6 bei mkuuZipo bei ni 900/ 650k