Mkuu nilikuwa sijakuelewa sorry sana..kumbe uliulizia tablet s2...nilijua Samsung s2, tablet s2 ipo Bei ni 600k.
Ila pia zipo na tablets nyngne za kisasa za Samsung bei kuanzia 400 mpka 550k
Nimeuliza kama una s6 edge demo au 7 edge demo5s zipo bei 500k, na 6s Bei 1.1mil
Simu ya 2, 3 nikupe Samsung J2
kuna s7 demo inauzwa ni gb32 500000Nimeuliza kama una s6 edge demo au 7 edge demo
PoaHuwa siuzi demo kabsa mkuu
Elfu hamsini au laki tano?kuna s7 demo inauzwa ni gb32 500000
IPad min yenye GB 32 unauzajeHuwa siuzi demo kabsa mkuu
laki 5Elfu hamsini au laki tano?
Tab s shilingi ngapZipo za 16, nauza 350k..tablets ndio zipo za 32 had 64
Sasa hiyo K in maanisha nini? Kenya shiling, kwacha au unajua unapofanya biashara uwe serious sio kufanya kijingajinga utavuna ujinga huo huo.700k
K inamaanisha nini?Mate 8 ni 900k
Tecno C9 ni 320k
Tecno c 7 ni 200k
Note 4 ni 650k
K= 000K inamaanisha nini?