S6 edge nataka,ipo 650Ndio maana naitwa Vunja bei...cm nauza bei rahis...au wewe ushazoea kupigwa bei kuubwaaa na wahindi ndio ujue kitu ni chenyewe original?? Bei zangu ni pouwa tu ili maisha yaendelee..siuzii tamaa mie
S6 mkuuutaka tuvunje na nn boss??
hizo zimeisha