Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

feki OG
 
Niko so undecided kati ya Mate 8 na P9 mkuu, ninaomba nisaidie bei latest ya hizi simu na kwa ushauri wako ipi bora, matumizi ya kawaida tu
chukua p9 mkuu...is the best. hata bei ipo juu kwa mate 8, ujue hiz P series na Mate series, znaenda sawa km kwenye samsung, Note series na S series..ilivyotoka p8 ndio ikatoka mate 8, sasa p9 ni level za mate 9...
kwa ushauri wangu chukua P9 ni simu portable na mwonekano mzuri, inakaa sana na charge, ina camera nzuri sana level zaid ya s7 edge, network yake ipo bomba na pia...ni simu adimu.
p9 inauzwa 1.3mil, mimi ninauza 750k only
 

Nimekupata mkuu, bei zake zikoje?

Naomba bei ya zote mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…