Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Mjomba duniani kuna mbinu nyingi...Hivyo mtu asije akakwambia hiki au kile hakiwezekani!!!!!!

Kikubwa tu ni kwamba kama wengine wanavyokuja dukani na kufaidika na wewe pia karibu dukani kwangu ujipatie cm mpyaa na OG kutoka South Africa.
 
Mjomba duniani kuna mbinu nyingi...Hivyo mtu asije akakwambia hiki au kile hakiwezekani!!!!!!

Kikubwa tu ni kwamba karibu dukani kwangu ujipatie cm mpyaa na OG kutoka South Africa.
Sawa mkuu.
Nataka Huawei Ascend P8.
Ila cpo Dar.
 
Mfano Sumsung S5,,,je ina support 4G? Na Sumsjng Note3 je?,,nahitaji inayosupport 4G tu,,,bei isizidi laki5
 
Mfano Sumsung S5,,,je ina support 4G? Na Sumsjng Note3 je?,,nahitaji inayosupport 4G tu,,,bei isizidi laki5
Zipo znazosupport na ambazo hazina 4G
 
Nina mashaka hapa ya kupigwa watu
 
J5 ya 4G lte, mpyaa full boxed with accessories nauza 380 tu, simu zote ni original...na ninakuhakikishia ni original sabab ni original na ni guaranteed....ukinunua utajua tu si kuna TCRA..kwanza hakuna copies zenye 4G network.


What about Samsung J7
 
Na iwe vunja bei kwl me ntakutafuta mkuu nione mali zako kama OG ntachangia ofisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…