Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Huduma zako zinapatikana Arusha? ,ukiacha zile za ntumie pesa na mimi ntakutumia mzigo
Arusha kwa sasa ninaye wakala...so hakuna tatzo kwa wakazi wa Arusha
 
Ama kweli mashaka wakati mwingine yana shida sana jamani huyu jamaa mimi ni shahidi kabisa wa bidhaa zake me naishi tukuyu mbeya na nilituma kwake pesa na akanitumia samsung s5 mpyaa tena kwa bei ambayo sikuweza kuamini. Narudia tena kaka Vielon kukushukuru sana aisee mzigo unapiga kazi balaa
 
Shukrani sana kiongozi kwa kuwaelimisha hawa ndugu zang humu ambao bado hawana imani...Tupo pamoja sana kaka...japo upo kimyaa saana!
 
mkuu 150 naweza kupata simu gani nzuri ukiniwekea na picha itakua poa zaidi
 
Habari Wakuu, mzigo mpyaa umeingia. Pia Aksanteni sana wateja wangu hasa wa mikoani ambao tupo pamoja mpaka sasa, na mnaonisapoti Vunja Bei kwa kununua bidhaa zangu za smartphones na zaid kwa kuniunganisha na wateja wengine, nawashukuru saana....tupo pamoja! Pia ile offer ya glass protector imerudi tena, kwa wateja wangu wote watakaonunua cm kwangu msimu huu watajipatia glass protector au cover au vyote kwa pamoja bure kabsa.

Karibuni saana ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…