Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
743
Reaction score
1,839
Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka?

Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo.

Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu

 
Nilikuta juzi pia haya malumbano, Huyu Sandaland anatafuta kuchomewa duka lake Huyu. Ni vyema angetumia migambo kuliko hao mabaunsa, Pia wangeungana KWA pamoja wawatoe wamachinga kkoo kama hawawataki.

Ajabu maduka wenzao ndo wanatumia hao wamachinga kuuza bidhaa zao Bila kodi,ukienda wewe unapandishiwa mzigo gharama kubwa mpaka unaondoka tena haswa ukidai reset
 
Mchele mchele naye kaona fursa ameamua kutangaza biashara yake.
 
Back
Top Bottom