Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka?

Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo.

Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu

View attachment 1930478

Yote haya yameletwa na CCM:

1. Kutoandaa viongozi.
2. Magufuli akapata urais.
3. Akaendekeza ujinga.

Ni namna gani utawalaumu hawa machinga? This is how they adjust kuendana na uongozi
 
Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka?

Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo.

Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu

View attachment 1930478

Acha kazi iendelee kila mtu ataguswa kwa namna yake mama endelea kuupiga mwingi wataelewa tu
 
Back
Top Bottom