Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

Duuuh!!!Mmiliki wa maduka ya Sandaland yupo frontline kukichafua [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Daaah!!!Huyo mwana alokiwa uchi sasa, duuuh!!!
 
WAMACHINGA Ni jeshi la hatari linalofugwa kwa kisingizio cha wanyonge...wataleta shida ssna hawa bila kuwathibiti
 
Mimi namshangaa uyu mwamba alievua nguo zote....Sasa Yale machuma yangemchoma kule nyuma na anavyoinamainama hovyooo....
 
Walipelekwa Ilala machinga complex na wakaondoka licha ya serikali kununua bati na vyuma kwa kuezekea nje! Serikali ikapata hasara.
Nasema hivi serikali inawalea tu!!ikiwaamulia mbona watatii, kwenye hili inatakiwa mh, Rais atoe tamko kuwa jamani sasa imetosha nawapa wakuu wa mikoa mwezi mmoja miji nchi nzima iwe safi, tafuteni maeneo muwapeleke, tuone sasa atakayerudi barabarani!!hiyo kauli tu, ina maliza kila kitu!!tatizo utawasikia kuanzia sasa wataanza kupiga kelele kwa rais, kuwa wanyonge tunaonewa, sasa hata hawa watendaji wa chini wanakuwa njia panda.
 
Hii nchi ni ya ajabu sana. Haiwezekani wengine walipe kodi ya jengo, kodi ya TRA, walipe na umeme, walipe kodi ya manispaa, walipie usafi. halafu wengine hawalipi chochote lakini wanaruhusiwa kuuza bidhaa zilezile bila ya kulipia chochote kile na tena mbele ya maduka ya wanaolipa kila kitu.
 
Tatizo wanasiasa ndio wameleta machinga baada ya kuuwa sekta binafsi ikiwemo kuwakimbiza Wawekezaji wakafunga biashara zao watu wakakosa ajira wakageukia umachinga.
 
Back
Top Bottom