Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

Kariakoo siyo kwa ajili ya wamachinga au masikini.
 
Ccm wamewalea hao watu sasa watawatokea puani
 
RC Makalla amehongwa na chadema ili aichongee serikali kwa wananchi wanyonge.
 
 
Wametumwa na mbowe...
Tutafika tuu uchaguzi ukikaribia wamachinga wote ruksa kufanya biashara popote
 
Serikali inabidi ifike mahali iamua kuchagua moja... wafanyabiashara wenye maduka au wamachinga.

Sandaland anauza jezi za simba sh. 35,000, kwenye duka lake.. mbele yake kuna wanachinga wengi wameziba hadi njia, wanauza jezi hizo hizo kwa sh. 35,000 au labda pungufu kidogo.

Kwa hiyo wateja wakienda kununua jezi kwenye duka lake, wanakuta wamachinga wanauza hapo nje.

Nani atakubali huo ujinga.
 
Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka?

Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo.

Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu

View attachment 1930478
Sasa nani muhuni hapo kama sio hao machinga mbona mnapenda kutetea upumbavu?
 
Jamaa kajivua nguo ....au macho yangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…