Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

Kashindwa kuwatumia machinga wamuuzie bidhaa zake
 
Duh uyo alovua nguo angejipaka mafutaa kabsaa awe ka yule jamaa wa Rchugga anayeitwa telezaaa
 
Serikaki ichague moja...unataka kura au unataka kodi
 
Hivi kwa nini kavua nguo? Maana hata zamani watu wakipigana walikuwa wanavua mashati. Sijawahi kupata logic
 
Japo siwapendi na usumbufu wao lakini si sahihi kuwaita mbwa koko. Wanatafuta rizki zao za halali pia, kuwamithilisha na wanyama ni kuwadhalilisha.
Huyu jamaa hapigi picha Kama yeye angekuwa chinga sijui angejisikiaje,Kisa amekaa kwa paso yako na MTT anamkula mbususu yake anadhani yeye pekee ndiye Ana haki ya kuishi.
Binafsi ni kweli wanAziba road Sana Tena mpaka zile trunk roads Ila jamaa wapo nyumbani kwao.
Inawezekana yeye yupo huko mikocheni anapita na benzi afu akiona waliopanda dala anawaona kama sio watu.ama ni ulimbukeni wa kupata Mali na huku ulikuwa masikini ama Mali za ukubwani.
Waliozaliwa kwenye Mali wako humble Sana na Watu poa Sana kwa binadamu wenzao Ila Sasa masikini akipata atajitangaza na baa nzima atafunga
 
Umezuiwa Nini kuwa machinga mkuu
 
Ila wamachinga wanaudhi japo na wao wanajitafutia ridhiki ila mwenye duka ndie analipa kodi kubwa
 
Aisee, huyu aliyevua nguo ana ujasiri wa kipekee...Muda mwingine mibangi nayo inawachizisha.
 
Machinga wahuni. Huwezi ziba access kuelekea biashara ya mtu akakuacha, utakuwa ulofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…