uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Sep 10, 2021 #81 Mtanke said: Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka? Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo. Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu View attachment 1930478 Click to expand... Yote haya yameletwa na CCM: 1. Kutoandaa viongozi. 2. Magufuli akapata urais. 3. Akaendekeza ujinga. Ni namna gani utawalaumu hawa machinga? This is how they adjust kuendana na uongozi
Mtanke said: Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka? Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo. Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu View attachment 1930478 Click to expand... Yote haya yameletwa na CCM: 1. Kutoandaa viongozi. 2. Magufuli akapata urais. 3. Akaendekeza ujinga. Ni namna gani utawalaumu hawa machinga? This is how they adjust kuendana na uongozi
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Sep 10, 2021 #82 Aisee!
Amun Ra JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 4,713 Reaction score 7,218 Sep 10, 2021 #83 Mtanke said: Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka? Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo. Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu View attachment 1930478 Click to expand... Acha kazi iendelee kila mtu ataguswa kwa namna yake mama endelea kuupiga mwingi wataelewa tu
Mtanke said: Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka? Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo. Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu View attachment 1930478 Click to expand... Acha kazi iendelee kila mtu ataguswa kwa namna yake mama endelea kuupiga mwingi wataelewa tu
U utah jazz JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,816 Reaction score 3,993 Sep 10, 2021 #84 Dhana ya machinga kutawala umetumia vigezo gani Mr. MTUI said: Kila mtu afanye biashara..na si hii ya wamachinga kutawala Click to expand...
Dhana ya machinga kutawala umetumia vigezo gani Mr. MTUI said: Kila mtu afanye biashara..na si hii ya wamachinga kutawala Click to expand...