Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi ya Ligi na Pamba Jiji

Nimesoma mahali
 

Attachments

  • IMG-20241121-WA0017.jpg
    103.7 KB · Views: 3
  • IMG-20241121-WA0017.jpg
    103.7 KB · Views: 3
A
cheni uzushi na visingizio.
Mechi mliomba wenyewe bila kuwa weledi!
Kesho wachezaji wenu wakiumizwa mtasingizia wametumwa na mwananchi. Kenge nyiye
 
Ukiweza kuwazuia wasifanye vitu vyao uwanjani wakati wa mazoezi, siku ya Mechi watawahi Sana kabla ya mechi na ukiweza kuwazuia mtu yoyote asi kanyage uwanja wa kuchezea mpaka muda wa timu kufanya warm-up basi umemaliza kazi.

Jamaa wasipo mwaga vitu vyao ni wepesi kuliko mabua.
 
Tuwakumbushe timu ya Singida ilivamia mazoezi ya Yanga lakini Yanga hawakua na hofu na waliweza kuwa Kanda Singida.
Ukiwa na timu imara uwanjani hubabaishwi na vitu vidogovidogo.
 
Kuna mishabiki ya Simba inapenda kujipendekeza kwa rais pia tuna viongozi wanajinasibu wanasimba waziri mkuu, spika na naibu wake, waziri wa michezo na naibu wake lakini hawana msaada wowote kwa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…