Vurugu: Mkutano wa Mbowe wavamiwa Hai, Green Guard na OCD wahusishwa

Kwahiyo lowasa ndio kawatuma CCM mkavamie na kufanya fujo kwenye mkutano wa mbowe?
Mbowe analipia dhambi ya usaliti kwa makosa aliyofanya 2015 baada ya kubadili gia angani,hakuna atakayemuonea huruma ,kwani alimpokea Lowassa pesa akala yeye na wafuasi wake wachache
 
Hii mbinu imefeli kabla hamjaanza.tafadhali Chadema kuweni wastahimilivu mnatafutiwa kesi..
 
Aah wapi kaishiwa huyo anatumia dola kuumiza upinzani.
Wewe mwenyewe unashindwa kutomtaja kila siku unahisi hao wapinzani wataweza?

Magufuli kama maji usipo kunywa, utaoga, utafulia etc.
 
Halafu unaona wengine wakicheka na Magufuli nyumbani kwake...ni wakati wapinzani mumfungie vioo Magufuli..he is just playing you guys
Ukiambiwa uthibitishe anko magu kahusikaje na hizi vurugu utaweza?
 
Ushahidi nikupe wewe kapuku?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…