Vurugu: Mkutano wa Mbowe wavamiwa Hai, Green Guard na OCD wahusishwa

Vurugu: Mkutano wa Mbowe wavamiwa Hai, Green Guard na OCD wahusishwa

Leo mkutano ulikua na watu 20 au sio??
 
Yaani jamaa wamefanya vurugu hadi wanaondoka polisi wanawaangalia tu.!
 
Ok
tapatalk_1583093578535.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukisema CCM inabebwa na dola tueleweke jamani.lakini uzuri wananchi wengi tunajitambua itafahamika tuu hiyo oktoba 25 2020 maana hata wizi na figisu vina mwisho wake.
Yaani jamaa wamefanya vurugu hadi wanaondoka polisi wanawaangalia tu.!
 
Sasa mnaona raha gani kuzuia wananchi wasihudhurie mikutano ya Chadema?
Baada ya kuona mikutano yake ina doda akaamua awe anajifanyia vurugu mwenyewe na kutupia lawama upende wa pili, ndio maana ukaona mleta mada kataja kabisa upande wa pili bila kuwa na ushahidi wowote.
 
Anko Magu anatawala kwa mkono wa chuma, utawala wake ni utawala dhalimu, utawala wa hila, chuki na visasi.
Cha ajabu huyu bwana hakosi kanisani, ingawa kanisa halimtumi kufanya anachofanya, sijui kama dhamiri yake haimuishaki, ama haoni hatia.
Bila shaka utawala wa hivi haidumu muda murefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo OCD na vijana wa green guard wa CCM mbowe ndio kawaita wafanye vurugu? Hiyo stroke bado haijapona rudi hospitali.
Baada ya kuona mikutano yake ina doda akaamua awe anajifanyia vurugu mwenyewe na kutupia lawama upende wa pili, ndio maana ukaona mleta mada kataja kabisa upande wa pili bila kuwa na ushahidi wowote.
 
Mbowe analipia dhambi ya usaliti kwa makosa aliyofanya 2015 baada ya kubadili gia angani,hakuna atakayemuonea huruma ,kwani alimpokea Lowassa pesa akala yeye na wafuasi wake wachache
Mpumbavu wa kutupwa wewe sasa umeandika nini hiki? Mbona hueleweki.
 
Mkuu kanisani huwa mashetani yanapiga kambi kusaka wafuasi kwahiyo usishangae kumuona magufuli jumapili kanisani.

Back
Top Bottom