Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,530
wanamuogopa lile lijisura lake wanadhani ni zombie.
Mtu hajulikani ni mzee au kijana
Sema tu huwezi.nikiweza utanipa nini??? mxiewwww
mungufuli kijitu cha hovyo sana tunamjua tabia zake za kishetani na kishenzi narudia tena tunamjua vizuri.Ukiambiwa uthibitishe anko magu kahusikaje na hizi vurugu utaweza?
Kichwa yako imejaa matope.Baada ya kuona mikutano yake ina doda akaamua awe anajifanyia vurugu mwenyewe na kutupia lawama upende wa pili, ndio maana ukaona mleta mada kataja kabisa upande wa pili bila kuwa na ushahidi wowote.
Sema wananchi wamemchoka mbowe, wanaona maneno mengi kazi hakunaView attachment 1375655
View attachment 1375656
Lengo kuu ni Chadema ijibu mapigo ili wapate kisingizio cha kuzuia Mikutano ya Mbowe inayoendelea .
Mpumbavu wa kutupwa weye.Sema wananchi wamemchoka mbowe, wanaona maneno mengi kazi hakuna
Baada ya kumjua umechukua hatua gani baada ya hapomungufuli kijitu cha hovyo sana tunamjua tabia zake za kishetani na kishenzi narudia tena tunamjua vizuri.
Uwe na heshima kwa baba yako, Mama yako hajakuambia?Mpumbavu wa kutupwa weye.
siasa ni vita pimbi weweMkuu wa wilaya ya hai ni mjinga sana siasa ni ustahimilivu na uvumilivu unakubali kushindwa kwa hoja na wala si uwadui kama jiwe anavyofikilia kuwa kuanzisha vurugu kwenye mikutano ya vyama vya wapinzani ndio atapendwa hapo anajidaganya kwanza ndio kama anaongeza petroli kwenye moto
uchaguzi ni vita pimbi weweMkuu wa wilaya ya hai ni mjinga sana siasa ni ustahimilivu na uvumilivu unakubali kushindwa kwa hoja na wala si uwadui kama jiwe anavyofikilia kuwa kuanzisha vurugu kwenye mikutano ya vyama vya wapinzani ndio atapendwa hapo anajidaganya kwanza ndio kama anaongeza petroli kwenye moto
Hata kama ni wawili mradi uwe mkutano halalii kisheria.Leo mkutano ulikua na watu 20 au sio??
Vijana 50 tu mnawachekea ? Red brigade ilikuwa wapi?Hatua kama ipi kwa mfano?
Lengo kuu ni Chadema ijibu mapigo ili wapate kisingizio cha kuzuia Mikutano ya Mbowe inayoendelea .
======
Hai. Mkutano wa Mbunge wa Hai (Chadema) mkoani Kilimanjaro, Freeman Mbowe uliokuwa ukifanyika katika kijiji cha Kikafu Chini, Kata ya Weruweru umevurugwa baada ya kuibuka kikundi cha vijana zaidi ya 50 wa kike na kiume kwenye mkutano huo na kuanzisha vurugu.
Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho alipanda jukwaani leo Jumanne Machi 3, 2020 saa 11:12 jioni ambapo alizungumza hadi saa 11:47 jioni ndipo kundi la vijana lilipoibuka na kuanza kupiga kelele, jambo lililomfanya mbunge huyo kunyamaza.
Hata hivyo kabla ya kunyamaza, Mbowe ambaye ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni alisema polisi hili ndilo kundi ambalo tuliwaambia na baada ya kauli hiyo alinyamaza akiangalia vurugu hizo.
Vijana hao wanaodaiwa kutoka maeneo mbalimbali walianza kupiga kelele wakisema "sema ulichofanya, tunataka Magufuli” hali ambayo iliwafanya polisi kuingilia kati kuanza kutuliza vurugu hizo.
Baada vurugu kuendelea, polisi ambao walikuwa na gari moja waliongeza nguvu kwa kuja polisi waliokuwa wamevalia sare na kudhibiti kikundi hicho kusogelea jukwaa alilokuwa amesimama Mbowe.
Alivyonyamaza zaidi ya dakika 20 akiwatizama pasina kuongea chochote polisi nao walisimama ili wasiende kwenye jukwaa alilokuwa Mbowe wananchi walikuwa wakipa kelele. Baadaye waliondoka pasina kukamatwa.
Walipoondoka vijana hao, Mbowe alishuka jukwaani na kupanda gari lake kisha kuondoka.
Awali, kabla ya Mbowe kupanda jukwaani, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Hai, Saimon Mnyampanda alidai kuna vijana zaidi ya 70 wa kike na kiume wametumwa katika mkutano huo ili kufanya vurugu.
"Polisi kama ninyi hamtambui, sisi tunatambua, wapo vijana hapa wametumwa kutoka Kiungi, Bomang'ombe na wengine wa hapa, kufanya vurugu, tunatambua hilo," alisema Mnyampanda.
Mwananchi linaendelea kumtafuta Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro (RPC), Salum Hamuduni kuzungumzia vurugu hizo.
Zaidi, soma: Hai: Mbowe azungumzia tukio la kundi la Vijana waliovamia mkutano wake Jimboni
Mkuu wa wilaya ya hai ni mjinga sana siasa ni ustahimilivu na uvumilivu unakubali kushindwa kwa hoja na wala si uwadui kama jiwe anavyofikilia kuwa kuanzisha vurugu kwenye mikutano ya vyama vya wapinzani ndio atapendwa hapo anajidaganya kwanza ndio kama anaongeza petroli kwenye moto