Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,096
Vijana wa buku 7 katika ubora wao..
Ndo akili zinavyokutuma? Hatumchagui tenaVijana wa buku 7 katika ubora wao..
Ndo akili zinavyokutuma? Hatumchagui tena
Kanyaga twende baba, unadhani wananchi kwa sasa ni wajinga wajinga, hahahaha.Utawala wa Magufuli utaanguka kwa sababu yake mwenyewe ushenzi anaoufanya.
Hauwezi kuanguka kamanda.Utawala wa Magufuli utaanguka kwa sababu yake mwenyewe ushenzi anaoufanya.
Tatizo lenu mnafanya siasa za kitoto naweza kusema.
Hicho ndicho walichokusudia ili wapate sababu ya kupiga marufuku shughuli za kisiasa kwa Chadema. Lakini Mh Mbowe ni muelewa na mwenye hekima ya hali ya juu. Alishalijua hilo kabla ya kuanza ziara yake Wilayani Hai.Hivi kwa mfano vijana wapumbavu wa green guard wawili watatu wangeuwawa hapo lawama ingeenda kwa Mbowe? Huo ni upumbaf mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wapinzani wanaomnyima usingizi jiwe ndo wakina mbowe, na ambao hawamnyimi usingizi jiwe akiwemo mbatia na wengineoHalafu unaona wengine wakicheka na Magufuli nyumbani kwake...ni wakati wapinzani mumfungie vioo Magufuli..he is just playing you guys
ila kaukweri kapo! ukiulizwa swali utajibu nini? miaka 5 hujawai hitisha hata mkutano mmoja! duuh!
Kwani hawa hamuwajui?Sijui mnaushaid gani kwamba Hao ni vijana wa ccm mana picha zinaonesha ni polis nyie mnasema vijana wa ccm mnajua mkidanganya pia ccm nayenyewe itadanganya mwisho wa siku mtuchanganye
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zao ziko makalioni, wala si kichwani.Vijana wa ccm sijui akili zenu zipo wap!
Mpuuzi kweli! Ukisaidiwa saidika! Ukapuku wangu una faida kubwa kuliko ujuaji wako wa kikasuku! Jifunze tabia ya ng'ombe kutema na kutafuna upya itakusaidia kujenga hoja zenye ushahidi na ulizozichunguza na kujiridhisha! Anyway, nakuacha tarumbeta wewe uendelee kupulizwa!Ushahidi nikupe wewe kapuku?,