Vurugu: Mkutano wa Mbowe wavamiwa Hai, Green Guard na OCD wahusishwa

Vurugu: Mkutano wa Mbowe wavamiwa Hai, Green Guard na OCD wahusishwa

ila kaukweri kapo! ukiulizwa swali utajibu nini? miaka 5 hujawai hitisha hata mkutano mmoja! duuh!
 
Hivi kwa mfano vijana wapumbavu wa green guard wawili watatu wangeuwawa hapo lawama ingeenda kwa Mbowe? Huo ni upumbaf mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ndicho walichokusudia ili wapate sababu ya kupiga marufuku shughuli za kisiasa kwa Chadema. Lakini Mh Mbowe ni muelewa na mwenye hekima ya hali ya juu. Alishalijua hilo kabla ya kuanza ziara yake Wilayani Hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vikundi sjui Kijani guard sjui blue guard hivi ndvyo vita Kuja kuleta sintofahamu mbele ya safar nmewahi kutafakar sjui kwnn vipo na nini malengo yake...je vipo kwa Sheria gani...hivi ni tanuri letu badae sublini tuombe uzima!!kikundi blue sijui black guard!!vimeanzishwa kw sheria ipi na jukumu lake ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unaona wengine wakicheka na Magufuli nyumbani kwake...ni wakati wapinzani mumfungie vioo Magufuli..he is just playing you guys
Kuna wapinzani wanaomnyima usingizi jiwe ndo wakina mbowe, na ambao hawamnyimi usingizi jiwe akiwemo mbatia na wengineo
 
Sijui mnaushaid gani kwamba Hao ni vijana wa ccm mana picha zinaonesha ni polis nyie mnasema vijana wa ccm mnajua mkidanganya pia ccm nayenyewe itadanganya mwisho wa siku mtuchanganye

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hawa hamuwajui?

Ni makada wa ccm pale hai, ni wao waliongoza fujo yote mwenye kubisha na abishe kwa hoja
tapatalk_1583315943078.jpeg
tapatalk_1583319005685.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi nikupe wewe kapuku?,
Mpuuzi kweli! Ukisaidiwa saidika! Ukapuku wangu una faida kubwa kuliko ujuaji wako wa kikasuku! Jifunze tabia ya ng'ombe kutema na kutafuna upya itakusaidia kujenga hoja zenye ushahidi na ulizozichunguza na kujiridhisha! Anyway, nakuacha tarumbeta wewe uendelee kupulizwa!
 
Back
Top Bottom