Vurugu: Mkutano wa Mbowe wavamiwa Hai, Green Guard na OCD wahusishwa

Baada ya kuona mikutano yake ina doda akaamua awe anajifanyia vurugu mwenyewe na kutupia lawama upende wa pili, ndio maana ukaona mleta mada kataja kabisa upande wa pili bila kuwa na ushahidi wowote.
Kichwa yako imejaa matope.
 
siasa ni vita pimbi wewe
 
uchaguzi ni vita pimbi wewe
 
Huyu JIWE ni NDULI IDD AMIN mpya wa Tanzania, ni wakati sasa wa kupaaza sauti zetu kwa mabeberu yaingilie kati kukomesha UPUMBAVU huu.
 
Halafu jinga pumbav eti liko kwenye mfungo wa Quadragessima! Nyoko kabisa!!
 
https://www.facebook.com/video.php?v=747000309037100WATU WENYE AKILI WANADAI HAKI YAO SIYO BLABLA TU
 
Nakumbuka 2015 tulipewa mbinu kama hii ya kufanya vurugu popote pale kwenye mkusanyiko wa vyama vya upinzani hasa CDM,tukishavuruga tunakamatwa wote pamoja na wafuasi wa Cdm.. tunawekwa ndani alf sisi chama tawala tunatoka free upinzani unabaki lock-up ili kupunguza idadi ya wapiga kura....
Niliacha tabia hyo ya kupigania chama siku mmoja wetu alirudi mkono unabebembea kachezea panga za kutosha na buku ten nikaiona haina maana tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…