Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

Uzi huu umenikumbusha mbilinge la Kantallamba na Mazwi mwaka 1998//99 pale Basi lanSumri lilipokodiwa na wanafunzi wa Mazwi na kuja Nelson Mandela Stadium Sumbawanga na kisha wanafunzi wa Mazwi kupita jukwaa la Kantalamba na kkuwaonyesha dole la Kati kisha jamaa kulipopoa kwa mawe Bus la Sumri na kichapo kikkawashukia Kantalamba Sec School.

Wana wa Kantalamba wakajipanga kwa revenge asubuhi na kulivizia Bus la Sumri likiwa kwenye safari Kati ya Sumbawanga - Mbeya na kuvunja vioo na kujeruhi baadhi ya Abiria.

Bahati nzuri hakukuwa na vifo bali majeruhi wa kutosha.

UJANA MAJI YA MOTO
 
Unaongea sana kwa ufahari wakati ni upumbavu unao dhania, hakuna cha kujivunia kwenye ujinga ule, yule jamaa wa senyenge alifariki dunia na kiongozi kutoka shule alienda kushiriki kwenye msiba, very sad hizi shule zimetuathiri maisha na kuwa wajinga hivi

Hivi unadhani hao walioshiriki kumuua yule kijana kwa sasa hawana Guilty mioyoni mwao, hata kama alishiriki kupiga teke, itakaa moyoni mwake milele...
 
Miaka 12 baadae bado una uumbwe na ulyamongo..very stupid of you

Fikiria wewe ni ndugu wa yule jamaa aliekufa alafu unasoma comment ya kijinga kama hii

Kweli unasema alijikuta captain, kweli marehemu, miaka 12 baadae bado unapumba za uboizini
 
Sio kwa ufahari mkuu mimi kama mimi nilibaki nimeduwaa maana iliniathiri mpaka baadhi ya walioshiriki nilikua nawaogopa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 12 baadae bado una uumbwe na ulyamongo..very stupid of you

Fikiria wewe ni ndugu wa yule jamaa aliekufa alafu unasoma comment ya kijinga kama hii

Kweli unasema alijikuta captain, kweli marehemu, miaka 12 baadae bado unapumba za uboizini
Sasa ukweli si ndo huo mkuu mbona kama umepaniki? Pia kuna washkaji kibao waliumia nashukuru Mungu sikupata hata jeraha. Kuna marafiki zangu kibao wana makovu mpaka leo. Na je? Wewe uliona ni sahihi kuja shuleni kufanya fujo? Nadhani uliona maamuzi yaliyotolewa. Nyie mlilipa faini ya uharibifu tsh.53,000/= sisi hatukulipa hata mia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dreva alikua anaitwa suka na lile rory [emoji23][emoji23]
 
Haha maji bariiid kama nn alafu nikapelekwa gwatanamo bweni likikua karibu na tacr mh mbona nilitaman kurud hom!
 
Ofcos nimepanic mpumbavu ww..

Sijaandika hapa kujivunia na chochote umbwe walichofanya zidi ya lyamungo..

Angalia sasa unavyozidi na ujinga wako , eti nyie mlilipa fine na sisi hatukulipa, mjinga sana wewe hauhitaji reply yoyote ile..jibu chochote unachojua ili tambua wewe ni mentally retarded..yani baada ya miaka 12 bado unachagua upande.. manina
 
Tuliza munkari broo. Umeshakua mtu mzima wewe. Yaliyopita yameshapita either bad or good memories.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
J Jamaa wa Lyamungo walikuwa informed kuwa umbwe watakuja usiku ko walichofanya ni kujificha kweny mashamba ya kahawa wakiwa na slashers,wanafunz wa umbwe walitekwa na kuingizwa ndan ya gate na hapo ndo kichapo kilianza,yulr jamaa alieuawa alionekana ni mvuta bangi sanaa na aligoma kuchwapwa slasher ya mat..n ambayo kwa muda huo ilikuwa kama passward ya kuingia ndan ya gate ..nawahurumiwa sanaa wazaz wa jamanaa cz walimtuma akasome ila yy akawa ndo organizer wa fujo
 
Kulitokea ugomvi mkubwa sana kati ya Moshi Tech School na Old Moshi mwaka 2002, wakati sisi tumeshaondoka hapo Moshi Tech mwaka 2001. Huwa nawaza mpaka leo nn kingetokea kama tungekuwepo, maana huo mwaka wetu kulikuwa na watu ajabu sana yaani kama si mauaji sijui, nadhani ilikuwa ni mipango ya Mungu. Mdogo wangu Mc Donalds aliumizwa sana ila tunashukuru Mungu hakuna mauaji yalitokea, Mungu ni mwema kazi iendelee. Hao Lyamungo tulishawahi wachapa kama watoto wadogo na wale jirani zao wanaitwa sijui Mlama.
 
Nafikiri Songea boys ndo wamepigana Vita na wapinzani wengi zaidi.
Moja kulikua na Vita ya hatari Kati ya Songea boys na Chuo cha Ualimu Songea(Matogoro) kwenye historian Vita hii ilishawahi ua mtu, wanachuo walikua wanapigika vibaya Sana

Pili, kulikua na Vita Kati ya Songea boys na Shule ya sekondari(ya jeshi) Ruhuwiko: Vita hii ulikua inaanzia Uwanja wa Majimaji then inasambaa mtaani. Ruhuwiko walikua wanaumia Sana kwenye mapigano haya
Songea boys ulikua ni zaidi ya Jeshi
 
Na hapo form four ya Umbwe ya 2009 wahuni kibao walifukuzwa 2008, sipati picha wakina Baghdad wangekuwepo

Kuna kipindi kilikuwa na bifu na wanakijiji ukikutwa kombo au maeneo yeyote ya kijijini usipochezea mabapa basi utaibiwa kwa lazima, ilifikia wanakijiji wanaingia maeneo ya shule usiku kama uwanjani wakikuta lazima wakuibie

Kilichokua kinaharibu Umbwe na lyamungo ni watoto wa Arusha wengi wao ndo walikua wakorofi, na usela mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…