kindikinyer leborosier
JF-Expert Member
- Jan 6, 2018
- 456
- 833
Tulikua tukiita University of Moshi But not Well Established (UMBWE) katikati ya maua unakuta bangi zimejiotea,, mdau katupa mbegu,
Kipindi Cha makange umbwe ilifika hatua tukaiita college kulikua na ufree uliopitiliza, migomo isiyoisha, walikua kupigwa ilikua ni mwendo wa uharamia, watu mda wowote wanaenda kulewa mpaka wanazima wanaletwa shuleni hawajielewi
Lyimo nae shule ilikuja mshinda tatizo ni wapigaji wa hela, shule ikawa na matatizo mengi kwa migomo ikawa kila uchwao
Kipindi hicho form one mpaka six sare moja ya kaki ukija mgeni ukikaa vibaya unaingizwa mjini sababu huwezi tofautisha uyu ni form one au form four