Makungaranga
Senior Member
- Sep 4, 2016
- 152
- 168
Yule Kocha, hakukosea!!Mleta uzi ni mchochezi tu. Yeye kilichompeleka pale ni nini Kama si uchokozi?
Na aliyewaita mbumbumbu alikuwa sahihi kabisa.Yule Kocha, hakukosea!!
Yule Kocha, hakukosea!!
Unaleta uzi wakati hatua zimeshachukuliwa!? Haya tumekusikiaTFF tamko peke yake kuhusu kitendo walichofanya mashabiki wa Yanga halitoshi, hili tukio mnaweza kuliona ni dogo sana, ila tukio hili ni kubwa mno, tunapelekana pabaya, bila mashabiki wa Yanga na club ya Yanga kupewa adhabu, mashabiki wa Simba watakuwa na hali ya kulipiza kisasi na kwa umati wa watu wanao jaa uwanjani na kila mtu na akili zake, atakuja kufa mtu uwanjani, tuwe serious katika hili, haliitaji ushabiki wa team kukemeaView attachment 1554951
Kocha alipowaita Nyani na mbwa mnazani alikosea et?Nenda huko na ushabiki wako
Unaweza kuniambia ni hatua zipi zimechukuliwaUnaleta uzi wakati hatua zimeshachukuliwa!? Haya tumekusikia
Sio vibaya nikajua, pia kama kuna hatua zimechukuliwa itakuwa vizur sanaUnaleta uzi wakati hatua zimeshachukuliwa!? Haya tumekusikia
Ni nyati au ulimaanisha nyani?Vitu vingne vya kujitakia kwakweli umeona kundi la nyati msituni nawe unaenda kukaa katikat yao
Sasa ushabiki uko wapi hapo? Hayo ni mambo ya kishamba sana, nyie ndio. Mnajifanya mashabiki kindakindaki, wakati huna mchango wowote kwenye timu, ndio wale timu inafungwa eti UNAZIMIA!!! sasa kwa taarifa yako hao waliofanya uhuni huo ndio watakuwa mfano kwa wengine!!Nenda huko na ushabiki wako