Vurugu ya mashabiki wa Yanga

Vurugu ya mashabiki wa Yanga

Makungaranga

Senior Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
152
Reaction score
168
TFF tamko peke yake kuhusu kitendo walichofanya mashabiki wa Yanga halitoshi, hili tukio mnaweza kuliona ni dogo sana, ila tukio hili ni kubwa mno, tunapelekana pabaya, bila mashabiki wa Yanga na club ya Yanga kupewa adhabu, mashabiki wa Simba watakuwa na hali ya kulipiza kisasi na kwa umati wa watu wanao jaa uwanjani na kila mtu na akili zake, atakuja kufa mtu uwanjani, tuwe serious katika hili, haliitaji ushabiki wa team kukemea
 
Mleta uzi ni mchochezi tu. Yeye kilichompeleka pale ni nini Kama si uchokozi?
 
Mleta uzi ni mchochezi tu. Yeye kilichompeleka pale ni nini Kama si uchokozi?
 
TFF tamko peke yake kuhusu kitendo walichofanya mashabiki wa Yanga halitoshi, hili tukio mnaweza kuliona ni dogo sana, ila tukio hili ni kubwa mno, tunapelekana pabaya, bila mashabiki wa Yanga na club ya Yanga kupewa adhabu, mashabiki wa Simba watakuwa na hali ya kulipiza kisasi na kwa umati wa watu wanao jaa uwanjani na kila mtu na akili zake, atakuja kufa mtu uwanjani, tuwe serious katika hili, haliitaji ushabiki wa team kukemeaView attachment 1554951
Unaleta uzi wakati hatua zimeshachukuliwa!? Haya tumekusikia
 
Nenda huko na ushabiki wako
Kocha alipowaita Nyani na mbwa mnazani alikosea et?
20200901_074828.jpg
 
Ukiwasikia washabiki wa Simba wanavyosema,nahisi kuna hatari kubwa inakuja huko mbele.

Suala siyo TFF kuwaadhibu Yanga,bali ni polisi kufanya uchunguzi na kuwashitaki wote waliofanya kitendo kile cha udhalilishaji
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mimi nadhani ipo sababu mpaka kufikia ule ugomvi. Sidhani kama inaweza tokea mtu kakaa kistaarabu akaanza bughudhiwa from no where. Pia kuna sehemu ukikaa hasa kwa wale wenye vikundi vya ushangiliaji hata mimi mwenyewe shabiki wa Yanga siwezi kwenda kukaa lakini kuna huku kwetu mashabiki wa kawaida tunashangilia goli na vyenga hata aje wa Simba atakaa vizuri tu.
 
Ila Shabiki wa Simba naye awe anaona mbali Basi, unajua washabiki wa Yanga wameshachanganyikiwa kukosa ubingwa na wanaona kabisaa hata msimu ujao washaukosa so wanaviasira asira. Washabiki wa mnyama tunafuraha hatuwezi kufanya vurugu za kijinga km hizo
 
Nenda huko na ushabiki wako
Sasa ushabiki uko wapi hapo? Hayo ni mambo ya kishamba sana, nyie ndio. Mnajifanya mashabiki kindakindaki, wakati huna mchango wowote kwenye timu, ndio wale timu inafungwa eti UNAZIMIA!!! sasa kwa taarifa yako hao waliofanya uhuni huo ndio watakuwa mfano kwa wengine!!
 
Back
Top Bottom