Makungaranga
Senior Member
- Sep 4, 2016
- 152
- 168
TFF tamko peke yake kuhusu kitendo walichofanya mashabiki wa Yanga halitoshi, hili tukio mnaweza kuliona ni dogo sana, ila tukio hili ni kubwa mno, tunapelekana pabaya, bila mashabiki wa Yanga na club ya Yanga kupewa adhabu, mashabiki wa Simba watakuwa na hali ya kulipiza kisasi na kwa umati wa watu wanao jaa uwanjani na kila mtu na akili zake, atakuja kufa mtu uwanjani, tuwe serious katika hili, haliitaji ushabiki wa team kukemea