Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Acha kupotosha watu wewe hujui Tundu ni litobo lililowazi.Halafu mtu mwenyewe anapenda kulialia mnajidai kumsifia
View attachment 82223
Lawyers Environmental Action Team (LEAT), serikali haitakaa iwasahau hawa wanaharakati - ilibidi iwaweke korokoroni vinara wao, hao kina Tundu (cheki kesi yao hapa Statement of Charges Against Rugemeleza Nshala and Tundu Lissu | LEAT na hapa Tanzanian Attorneys Face Charges of Sedition | LEAT , ukinogewa pitia na hapa Tanzanian Police Raids | MiningWatch)!
Acha kupotosha watu wewe hujui Tundu ni litobo lililowazi.Halafu mtu mwenyewe anapenda kulialia mnajidai kumsifia
View attachment 82223
alikuwa analiyumbisha bunge kwa facts ambazo sitta alikuwa mara nyingi analazimika kuzikubali,huyu bibi ni mbabe hakubali facts za wapinzani..usichoelewa wewe nini hapo!!
Unataka kujua kabila kwani unataka kutambika?
!!!idadi sio ishu we msukuma,slaa peke yake alikuwa analiyumbisha bunge zima,sitta hakuwa mbabaishaji,kanuni zote zilikuwa kichwani,..yani kumlinganisha sitta na makinda ni matusi makubwa kwa mzee sitta
Teh,teh,teh sasa ngoma inogile,ni mwaka jana tu wabunge wa ccm,walishindwa kumkabili LISSU kwa hoja wakaishia kumbeza wengine wakisema tundu kikwao ni vile na hivi ilimradi kusherehesha ngoma.Sasa hapa wewe umeleta jipya,MAKINDA JE????umenena mkuu,spika huyu ni kinda hajakomaa,uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana,analazimisha na ana ishi kwa hofu waliompalia makaa,wakikutana jioni kwenye kilaji wanacheeeka jinsi mtu wao anavyosulubiwa mchana kweupee.Je Makinda naye ni Kinda bado katika uendeshaji wa shughuli za Bunge ?
mkuu Pasco, hongera kwa mchango wako uliofuata baada ya bandiko, sitaki kuwaza sana kwa nini mara nyingi unapigiaga chapuo watu fulani na kuonekana kama unanukia marashi ya ukanjanja, lakini kwa hili natamalaki kwa kujua kumbe na wewe huwa una moyo na maoni ya kizalendo na nchi hii na kuchukia upuuzi uliokithiri wa awamu hii japo sijajua kama ni another trick kama za wale jamaa wa new habari na CDMA!!!
Mkuu Dark City, ukiwa realist, be ready to be an enemy of the people!. Mimi ni realist, as of now kwa mambo hivi yalivyo!, 2015 ni CCM tena!, kwa vile kwa Chadema, 2015 ni do or die, kama watashgindwa!, then CCM itatawala milele!,

Nilisema pale nyuma sisi Watanzania ni ma ndondocha wa CCM, na 2015, tutawachagua tena!.
huu ndio ukweli mchungu!.
Pasco.
Je Makinda naye ni Kinda bado katika uendeshaji wa shughuli za Bunge ?
Pasco.
Ilboru sekondari kama ilivyo Mzumbe Sekondari haikuwahi kuwa special school maisha yake yote ni kwa kipindi fulani.... hivyo basi umedanganya kusema wakati wenu ilikuwa special school, nadhani hapa ni sifa za bure mnakata... aliyesoma ilboru... naomba aangalie hiyo miaka ya Tundu Lisu kulikuwa na u-special school kati ya 1983 hadi 1986? O,'level?
Tundu Lissu alijiunga shule ya vipanga ya Ilboru akitokea Singida, wakati huo akiitwa Antipasi Tundu, na alikuwa ni mtoto mtundu kweli!. Wakati huo, Ilboru ilichukua wanafunzi wenyeji wa Arusha, Singida na Shinyanga!. Sisi Wasukuma tukiitwa "Wasukusu", wenyeji wakiitwa "wamenye" huku jamaa wa Singida wakijiita watu wa "Singapore", uji ukiitwa "sumu", na nje kulikuwa na duka la kwa "Akwii".