Vurugu za Bungeni: Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!.

Vurugu za Bungeni: Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!.

Lawyers Environmental Action Team (LEAT), serikali haitakaa iwasahau hawa wanaharakati - ilibidi iwaweke korokoroni vinara wao, hao kina Tundu (cheki kesi yao hapa Statement of Charges Against Rugemeleza Nshala and Tundu Lissu | LEAT na hapa Tanzanian Attorneys Face Charges of Sedition | LEAT , ukinogewa pitia na hapa Tanzanian Police Raids | MiningWatch)!

Nimekwenda kwenye link zako hapo lakini sijaelewa chochote. Kweli sheria tuwaachia wanasheria bwana wewe...
 
Nikhery dr.slaa achukue urais kuliko mh.Tundu Lissu aingie bungeni :israel:
 
alikuwa analiyumbisha bunge kwa facts ambazo sitta alikuwa mara nyingi analazimika kuzikubali,huyu bibi ni mbabe hakubali facts za wapinzani..usichoelewa wewe nini hapo!!
Unataka kujua kabila kwani unataka kutambika?

Huwezi kumlinganisha Mh.Tindu Lissu na Dr.Slaa linapokuja swala la sheria vivo hivyo hata kwenye kanuni za bunge. Kwa mantiki hiyo, lazima Mh. Makinda atapata shida kupambana na naye. We can go on and on na tusipate angalizo malidhawa. Kipimo murua kingekuwa Mh.Sitta kuwa spika.

Wewe unapoulizwa kabila lako unakuwa mbogo lakini huoni tatizo kutaja taja makabila ya wenzako. Sijui hii niite ni double standard or egocentric. Angalia ulivyosema hapa,
!!!idadi sio ishu we msukuma,slaa peke yake alikuwa analiyumbisha bunge zima,sitta hakuwa mbabaishaji,kanuni zote zilikuwa kichwani,..yani kumlinganisha sitta na makinda ni matusi makubwa kwa mzee sitta

Try to be fair to everyone.
 
Je Makinda naye ni Kinda bado katika uendeshaji wa shughuli za Bunge ?
Teh,teh,teh sasa ngoma inogile,ni mwaka jana tu wabunge wa ccm,walishindwa kumkabili LISSU kwa hoja wakaishia kumbeza wengine wakisema tundu kikwao ni vile na hivi ilimradi kusherehesha ngoma.Sasa hapa wewe umeleta jipya,MAKINDA JE????umenena mkuu,spika huyu ni kinda hajakomaa,uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana,analazimisha na ana ishi kwa hofu waliompalia makaa,wakikutana jioni kwenye kilaji wanacheeeka jinsi mtu wao anavyosulubiwa mchana kweupee.
 
mkuu Pasco, hongera kwa mchango wako uliofuata baada ya bandiko, sitaki kuwaza sana kwa nini mara nyingi unapigiaga chapuo watu fulani na kuonekana kama unanukia marashi ya ukanjanja, lakini kwa hili natamalaki kwa kujua kumbe na wewe huwa una moyo na maoni ya kizalendo na nchi hii na kuchukia upuuzi uliokithiri wa awamu hii japo sijajua kama ni another trick kama za wale jamaa wa new habari na CDMA!!!


Kwa hili nimependa sana mchango wa Pasco ingawa nahitaji muda ziadi kujifikirisha...


Naona tatizo kubwa ni watu kubadilika na kuachana na mazoe....Tanzania ya sasa siyo ile ya one 1961-1992....

Pia kuna tatizo la taaluma.....Huwezi kuwa na elimu ya Advanced Dip halafu ukajidai kubishana na mwenye LLM kwenye mambo ya kisheria.......

Anne Makinda - Wikipedia, the free encyclopedia

Kwa mwendo huu, wale walikuwa wanaamini kuwa CCM itatawala milele (may be Pasco ni mmoja wao) inabidi waaze kubadilisha mindsets zao!!
 
Last edited by a moderator:
Kwaupande wangu sioni vurugu za Tundu Lissu, isipo kuwa tatizo nipale spika na naibu wanapo lazmisha nyeusi kuwa nyeupe!
 
muda umefika unapopewa kazi /cheo kaa chini angalia uwezo wako binafsi, takafari kisha amua kuichukua au kuiacha hiyo position.

Sasa hivi postion za uwaziri, ukatibu mkuu, ukurungenzi na hata ubunge tu imekuwa kaa la moto. miaka ya nyuma nani alirudi kwenye vitabu kusoma, kiongozi anasema chochote na hicho huwa ndicho unataka hutaki kwani wewe ni nani.

Kwa bunge la sasa tatizo lipo wazi kama wengi walivyodadadua kwamba uwezo mdogo wa kutafasiri kanuni kwa viongozi wetu wa bunge ndiyo umechangia haya -- pia dhana nzima ya kuisaidia (kuikingia kifua) serikali kujibu hoja za wapinzani kunafanya kiti cha madam spika na msaidizi wake kiwe cha moto zaidi.

Kwetu sisi wananchi tunafaidika - mimi nisingependa kabisa mbunge wangu niliyemchagua afike pale awe YES YES mzungu kala fenesi - NO: nataka ahoji, na apewe majibu sahihi ili aje atuambie tuliomtuma, na ikifikia mahala anaona hatendewi haki basi asikubali kabisa. msuguano wowote ule huleta maendeleo hata sayansi inaamini hivyo.

Nawahakikishia baada ya hili sakata mtaona some changes (improvement) katika uongozi wa bunge hata kama si zote. (kudharauriana kutapungua).


Mungu ibariki Tanzania.
 
Kwa hili nimependa sana mchango wa Pasco ingawa nahitaji muda ziadi kujifikirisha...

Kwa mwendo huu, wale walikuwa wanaamini kuwa CCM itatawala milele (may be Pasco ni mmoja wao) inabidi waaze kubadilisha mindsets zao!!
Mkuu Dark City, ukiwa realist, be ready to be an enemy of the people!. Mimi ni realist, as of now kwa mambo hivi yalivyo!, 2015 ni CCM tena!, kwa vile kwa Chadema, 2015 ni do or die, kama watashgindwa!, then CCM itatawala milele!,

Nilisema pale nyuma sisi Watanzania ni ma ndondocha wa CCM, na 2015, tutawachagua tena!.

huu ndio ukweli mchungu!.
Pasco.
 
udhaifu wa makinda na dungai hauwezi kuhalalisha kuwa Tundu Lissu anakosa au hata mtu yeyote waupinza maana ukweli spika na naibu wake wanabaka kanuni za bunge
 
Mkuu Dark City, ukiwa realist, be ready to be an enemy of the people!. Mimi ni realist, as of now kwa mambo hivi yalivyo!, 2015 ni CCM tena!, kwa vile kwa Chadema, 2015 ni do or die, kama watashgindwa!, then CCM itatawala milele!,

Nilisema pale nyuma sisi Watanzania ni ma ndondocha wa CCM, na 2015, tutawachagua tena!.

huu ndio ukweli mchungu!.
Pasco.

Unatumia vigezo gani kufikia hilo hitimisho?

Naomba unisaidie ili nikuelewe vizuri!
 
mmemchagua spika kichupichupi sasa tunaona upuuzi mtupu,na watz tusithubutu tena kuchagua hii jinsia kwa vigezo vya wapumbavu.
 
Pasco.
Ilboru sekondari kama ilivyo Mzumbe Sekondari haikuwahi kuwa special school maisha yake yote ni kwa kipindi fulani.... hivyo basi umedanganya kusema wakati wenu ilikuwa special school, nadhani hapa ni sifa za bure mnakata... aliyesoma ilboru... naomba aangalie hiyo miaka ya Tundu Lisu kulikuwa na u-special school kati ya 1983 hadi 1986? O,'level?

Hakusema special school, amesema shule ya vipanga. By the way waliamua kuichagua Ilboru kuwa special school kutokana na academic excellence yake. Hata mi nilisoma pale O Level. Wakati Pasco akiwa A Level......... soma vizuri

Tundu Lissu alijiunga shule ya vipanga ya Ilboru akitokea Singida, wakati huo akiitwa Antipasi Tundu, na alikuwa ni mtoto mtundu kweli!. Wakati huo, Ilboru ilichukua wanafunzi wenyeji wa Arusha, Singida na Shinyanga!. Sisi Wasukuma tukiitwa "Wasukusu", wenyeji wakiitwa "wamenye" huku jamaa wa Singida wakijiita watu wa "Singapore", uji ukiitwa "sumu", na nje kulikuwa na duka la kwa "Akwii".
 
Acha kupotosha watu wewe hujui Tundu ni litobo lililowazi.Halafu mtu mwenyewe anapenda kulialia mnajidai kumsifia

View attachment 82223

Mkuu, hiyo picha ni wakati wa msiba wa babaake mzazi, nadhani si busara kuihusisha kihivyo kwa hata wewe ukipotelewa na mtu wako wa karibu kulia ni kawaida mkuu!
 
Back
Top Bottom