tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Kapata ajali kwa kugonga kingo ya barabara,hata kama angegonga gari ingine police wangesaidia nini wakti marehemu kafia hapohapoMimi naona kama kuna taarifa zinafichwa,kwanza ajali haijaripotiwa
na jeshi la polisi,pili familia kuteketeza memory card ya mwandishi,tatu kama kuna watu wengine wamejeruhiwa katika ajali hiyo na hawana wa kuwasemea,hapo taarifa za mwandishi huviamsha vyombo vingine kuchukua hatua.
Wewe kama sio billionaire kaa kimya yeroo, kaa kwa kutulia mabilionea tuzike mabilionea wenzetu [emoji23]Arusha kila mtu billionea kule shenzi type
Ivi unawezaje ku deal na dereva aliye tupia the kiki bila kumtaarifu askari aliyeko njian? Unasubiri trafik atoke kituini aje alifukuzie basi au daladala.... Big No.... Hawa jamaa wawepo njian as quick reaction forceTatizo ni mwendo kasi. Kama abiria na madereva tukijilinda bila kusubiri serikali itulazimishe ajali zinaepukika na kupungua.
Kwa hili hata mimi nampongeza jiweSorry to say this. Arusha ulimbukeni ni mwingi sana, I think kama magu asingeingia madarakani pangekuwa ni miliki ya watu wachache. Moja ya achievement ya magu ni kuleta law and order kwenye hiyo sehemu, na kwenye Hilo alikiwa ana-negotiate na mtutu wa bunduki, walivyoona jamaa Hana masihara wakatulia kimya na mavurugu ya kijingajinga yakapungua. Dar licha ya changamoto zake Pako fair sana kwa mtu yeyote na matajiri wengi hawana mentality za kijima kutaka ku-control watu.
Umeongea ukweli kabisaNaona hao waandishi sio uchawa ni mazoea tu. Nimeishi Moshi wale watu mtu akiwa na gari kali moja na nyumba ambayo haifiki thamani ya hata 400M tiyari anaitwa billionaire bila kuzingatia assets zake na liabilities. Unaweza shangaa mtu mwenye mali za thamani ya 700M naye anaitwa billionaire. Mtu kwao wana kagari kamoja tiyari ashaitwa wa kishua mtaani.
Watu wa Kaskazini wanauchukulia ubilionea kitu rahisi
Haha [emoji28][emoji28]Mallard ayo utasikia familia ya bilionea fulani,aise jamaa machawa sana
Kuna habari yao moja eti walisema,mtoto wa bilionea kaingiza gari mtaroni ....wtf .....
Ova
Wamezidi sna kila kitu wanaripoti hats msiba wa kichanga cha siku tatu wanaenda kuwaoji wafiwaDah kuna watu huwa hawapendi kuweka misiba yao public...waandishi ombeni ukubali wa ndugu wa marehemu kabla ya kufika kwenye makazi ya watu na makamera yenu
Unga Ltd na kambi ya fisi kule matejooMabilionea wanakaa wapi huko Arusha mwalimu wa tuisheni?
Trafic hawapo wengi barabara zinazounganisha mkoa na mkoa ila mijini ndo wamelundikana na ndo hao Kinana anasema ni usumbufu maana kila m500 unasimamishwa. Sipingani na ww kuhusu uwepo wao kwenye barabara kuu za mikoa ila swali:Ivi unawezaje ku deal na dereva aliye tupia the kiki bila kumtaarifu askari aliyeko njian? Unasubiri trafik atoke kituini aje alifukuzie basi au daladala.... Big No.... Hawa jamaa wawepo njian as quick reaction force
Kila nikiona hi avtar yako nkumbuka dereva wangu wa kirikuuuuMwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi. Amen
Kuna baadhi inakua kweli ila wengine ni pesa za kawaida ila ndio hivyo waandishi wao wanasema bilioneaMallard ayo utasikia familia ya bilionea fulani,aise jamaa machawa sana
Kuna habari yao moja eti walisema,mtoto wa bilionea kaingiza gari mtaroni ....wtf .....
Ova
Unga ltd si ndo kuna slums?Unga Ltd na kambi ya fisi kule matejoo
Imagine mtu una machungu hata hujazika halafu mtu anaanza kukuuliza eti marehemu alikuwa mtu wa aina gani? Hapo ukute marehemu ni mama, baba (bora hata baba 🤣😍😷) au mtoto wakoWamezidi sna kila kitu wanaripoti hats msiba wa kichanga cha siku tatu wanaenda kuwaoji wafiwa
Siku hizi mnaalikana misibani ndugu yangu ? ,Kuna msemo unasema "maisha Ni yako,msiba Ni wetu" ,kwenye sehemu Kama misiba inatakiwa itumike busara, simtetei mwandishi lakini hao vijana kuleta vurugu msibani wamekoseaKosa amealikwa au ?
Kisheria mfiwa Ana haki ya kuamua nani awepo na nani asiwepo msibani. Hii niliikuta mahakamani kwenye maamuzi ya kesi moja ya kugombea maiti pale kino mahakamaniHuwezi kwenda msibani hata kama ni mwandishi wa habari bila ya idhini ya wenye msiba.
Halafu uko Arusha kwenyewe kwenye mabilionea ukienda kupaona pako rough sana hadi town kuna nyumba za udongo,maji ya kupikia,kufulia ni machafuNaona hao waandishi sio uchawa ni mazoea tu. Nimeishi Moshi wale watu mtu akiwa na gari kali moja na nyumba ambayo haifiki thamani ya hata 400M tiyari anaitwa billionaire bila kuzingatia assets zake na liabilities. Unaweza shangaa mtu mwenye mali za thamani ya 700M naye anaitwa billionaire. Mtu kwao wana kagari kamoja tiyari ashaitwa wa kishua mtaani.
Watu wa Kaskazini wanauchukulia ubilionea kitu rahisi
Au mtu akienda mererani akabahatisha kupata milioni 10 akirudi Arusha mjini anajiita tajiri anaanza vurugu akienda bar anazuia counter watu wengine wasinunue anafunga bar baada ya hapo wapambe wake wanaanza kuvumisha"Jamaa anayo hela yule achana naye kabisa,si alienda mererani akaokota jiwe"Wachaga na watu wa huko kaskazini kwa ujumla, hata ukimnunulia makopo mawili ya pombe atapita kila kona anatangaza "aiseee yule mzee ni tajirii ana hela mbaya" ni watu wa kukuza mambo.