Vurugu zaibuka msiba wa watoto matajiri wa Arusha, mwandishi wa Ayo TV anyang'anywa camera

Vurugu zaibuka msiba wa watoto matajiri wa Arusha, mwandishi wa Ayo TV anyang'anywa camera

Mimi naona kama kuna taarifa zinafichwa,kwanza ajali haijaripotiwa
na jeshi la polisi,pili familia kuteketeza memory card ya mwandishi,tatu kama kuna watu wengine wamejeruhiwa katika ajali hiyo na hawana wa kuwasemea,hapo taarifa za mwandishi huviamsha vyombo vingine kuchukua hatua.
Kapata ajali kwa kugonga kingo ya barabara,hata kama angegonga gari ingine police wangesaidia nini wakti marehemu kafia hapohapo
 
Tatizo ni mwendo kasi. Kama abiria na madereva tukijilinda bila kusubiri serikali itulazimishe ajali zinaepukika na kupungua.
Ivi unawezaje ku deal na dereva aliye tupia the kiki bila kumtaarifu askari aliyeko njian? Unasubiri trafik atoke kituini aje alifukuzie basi au daladala.... Big No.... Hawa jamaa wawepo njian as quick reaction force
 
Sorry to say this. Arusha ulimbukeni ni mwingi sana, I think kama magu asingeingia madarakani pangekuwa ni miliki ya watu wachache. Moja ya achievement ya magu ni kuleta law and order kwenye hiyo sehemu, na kwenye Hilo alikiwa ana-negotiate na mtutu wa bunduki, walivyoona jamaa Hana masihara wakatulia kimya na mavurugu ya kijingajinga yakapungua. Dar licha ya changamoto zake Pako fair sana kwa mtu yeyote na matajiri wengi hawana mentality za kijima kutaka ku-control watu.
Kwa hili hata mimi nampongeza jiwe
 
Naona hao waandishi sio uchawa ni mazoea tu. Nimeishi Moshi wale watu mtu akiwa na gari kali moja na nyumba ambayo haifiki thamani ya hata 400M tiyari anaitwa billionaire bila kuzingatia assets zake na liabilities. Unaweza shangaa mtu mwenye mali za thamani ya 700M naye anaitwa billionaire. Mtu kwao wana kagari kamoja tiyari ashaitwa wa kishua mtaani.

Watu wa Kaskazini wanauchukulia ubilionea kitu rahisi
Umeongea ukweli kabisa

Ongezea haya:

  • kuwa na madish mawili DStv na Azam
  • Watoto kusoma English medium schools [emoji23][emoji23]
-kuwa na fence yenye lather wire [emoji1]
 
Dah kuna watu huwa hawapendi kuweka misiba yao public...waandishi ombeni ukubali wa ndugu wa marehemu kabla ya kufika kwenye makazi ya watu na makamera yenu
Wamezidi sna kila kitu wanaripoti hats msiba wa kichanga cha siku tatu wanaenda kuwaoji wafiwa
 
Ivi unawezaje ku deal na dereva aliye tupia the kiki bila kumtaarifu askari aliyeko njian? Unasubiri trafik atoke kituini aje alifukuzie basi au daladala.... Big No.... Hawa jamaa wawepo njian as quick reaction force
Trafic hawapo wengi barabara zinazounganisha mkoa na mkoa ila mijini ndo wamelundikana na ndo hao Kinana anasema ni usumbufu maana kila m500 unasimamishwa. Sipingani na ww kuhusu uwepo wao kwenye barabara kuu za mikoa ila swali:

Abiria Hamuwezi kumzuia dereva asiendeshe kwa mwendo kasi? Kwann? Mbona hata abiria mmoja akisema "Dereva ukiendelea na mwendo huu tukifika salama nitakuchukulia hatua" tayari hiyo ni warning.
 
Mallard ayo utasikia familia ya bilionea fulani,aise jamaa machawa sana
Kuna habari yao moja eti walisema,mtoto wa bilionea kaingiza gari mtaroni ....wtf .....

Ova
Kuna baadhi inakua kweli ila wengine ni pesa za kawaida ila ndio hivyo waandishi wao wanasema bilionea
 
Kosa amealikwa au ?
Siku hizi mnaalikana misibani ndugu yangu ? ,Kuna msemo unasema "maisha Ni yako,msiba Ni wetu" ,kwenye sehemu Kama misiba inatakiwa itumike busara, simtetei mwandishi lakini hao vijana kuleta vurugu msibani wamekosea

Sisi tulikuwa na msiba kwetu walikuja Hadi wafanyabiashara wa mnadani ,kilichowaleta Ni kula tu Wala sio kuomboleza au kutufariji,waliposikia muda wa Msosi walifunga Biashara na kuja kula then wakaondoka mbona hatukuwafukuza ?

WATU wengine walienda mbali zaidi Hadi kuja kutuomba nyama wafiwa, imagine umefiwa alafu mtu anakufuata ndani anasema umuongeze nyama,mbona hatukuwatukana ? ,

Hao vijana wa Arusha hawana emotional intelligence
 
Naona hao waandishi sio uchawa ni mazoea tu. Nimeishi Moshi wale watu mtu akiwa na gari kali moja na nyumba ambayo haifiki thamani ya hata 400M tiyari anaitwa billionaire bila kuzingatia assets zake na liabilities. Unaweza shangaa mtu mwenye mali za thamani ya 700M naye anaitwa billionaire. Mtu kwao wana kagari kamoja tiyari ashaitwa wa kishua mtaani.

Watu wa Kaskazini wanauchukulia ubilionea kitu rahisi
Halafu uko Arusha kwenyewe kwenye mabilionea ukienda kupaona pako rough sana hadi town kuna nyumba za udongo,maji ya kupikia,kufulia ni machafu
 
Wachaga na watu wa huko kaskazini kwa ujumla, hata ukimnunulia makopo mawili ya pombe atapita kila kona anatangaza "aiseee yule mzee ni tajirii ana hela mbaya" ni watu wa kukuza mambo.
Au mtu akienda mererani akabahatisha kupata milioni 10 akirudi Arusha mjini anajiita tajiri anaanza vurugu akienda bar anazuia counter watu wengine wasinunue anafunga bar baada ya hapo wapambe wake wanaanza kuvumisha"Jamaa anayo hela yule achana naye kabisa,si alienda mererani akaokota jiwe"
 
Back
Top Bottom