Uchaguzi 2020 Vurugu zilizoanza kuibuka Uchaguzi Mkuu: Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania atema cheche

Uchaguzi 2020 Vurugu zilizoanza kuibuka Uchaguzi Mkuu: Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania atema cheche

BALOZI kaandika vizuri amelaani politically motivated violence.MOTIVATOR Lisu mbelgiji anaeleweka kwa ku motivate political violence

Lakini si vibaya tumuombe atoe tamko kwa Trump asitumie tena warusi kuiba kura!! Accomit himself to fair election in the coming Elections.

On behalf of my unborn American child who has no voice I request Honorable Ambassador to tell Donald Trump he should not win by rigging votes ,cheating Americans by hiring Russians vote thieves hiding as election Computer experts!!! To do the rigging job for him

America is a Country that trusts in God .
it doesnt trust in hired Russians election riggers like him.He should do justice to Americans in this coming elections.
 
Sijui kwanini ndugu Magufuli pamoja na kujiita mcha Mungu lakini hapendi neno 'haki'
Ungemsaidia asome mwenyewe kama ungeandika neno "HAKI" kwa Kisukuma maana lugha hata Kiswahili ndo tatizo la huko CCM ingawa hiyo ndo lugha yao adhimu wanataka itumike dunia nzima pamoja na Afrika ya Kusini waliopelekewa Kamusi ya lugha sanifu. PhD imetulia tuli!
 
We thank the American people for their development support, we ask the American government to use its influence over our government to make sure that it respects our constitutional rights of political freedoms, democracy and human rights. Without a big brother's watch these dictators will drag our country to low levels like most African dictators did to their countries!
HV nyie Ni kujitoa ufaham Kutegemea wanaume wenzenu au ndo mnaendelea support ushoga....mshamuuliza kwanini Trump anashindwa tetea hàki za waafrika....tatizo Sana nyie watu
 
Yaani makamanda mnafikiria upande wenu tu, mnajifanya kama hilo tamko halihusishi mauaji ya Mlelwa yaliyofanywa na makada wa Chadema. Ha ha ha. Lisu atajikuta The Hague hivi hivi, aendelee tu kujifanya mjuaji.
 
Kilichobaki ni kimoja tu kidhibiti ukibaka wa kura...na walioshinda watangazwe...
 
Yaani makamanda mnafikiria upande wenu tu, mnajifanya kama hilo tamko halihusishi mauaji ya Mlelwa yaliyofanywa na makada wa Chadema. Ha ha ha. Lisu atajikuta The Hague hivi hivi, aendelee tu kujifanya mjuaji.
Hivi mbona picha za makada hao was chadema hatuzioni mitandaoni...halafu suala la mauaji hayo limekuwa muted...wengine tunataka kujua details zake...
 
Huyo Marekani miaka yote hio utasema haonagi Uganda,Burundi. Na hapo Rwanda..........hapo anatimiza wajibu tu ila hali anaielewa
 
Hivi mbona picha za makada hao was chadema hatuzioni mitandaoni...halafu suala la mauaji hayo limekuwa muted...wengine tunataka kujua details zake...
Huwezi kuziona kwa sababu hawahusiki, polisi wanawajua wahusika halisi.
 
Mkuu mnakwama wapi? Balozi hajaongelea serikali kaongelea vyama vya siasa kavitaka vizingatia kanuni za uchaguzi,kaviasa vyama hasa CHADEMA kuacha vurugu wanazokuwa wanazifanya kwa kuzingatia mauaji ya kada wa CCM
Hawa watu wako desperate mnooo. Wengi wao walizoea vya kunyonga sasa vya kuchinja vinawashinda.
Inabidi tuvumiliane tuu hamna namna. 2810 sio mbali
 
Vyovyote itakavyochukuliwa ila hii audio ina mafunzo makubwa sana

Ila taabu ni kwamba saa hizi ndugu zetu wanashangilia faragha ya mwanaume na mwanaume mwenzie
 
Mkuu mnakwama wapi? Balozi hajaongelea serikali kaongelea vyama vya siasa kavitaka vizingatia kanuni za uchaguzi,kaviasa vyama hasa CHADEMA kuacha vurugu wanazokuwa wanazifanya kwa kuzingatia mauaji ya kada wa CCM

Waliomuua ALFONSI MAWAZO NI WA CHAMA GANI?
 
Back
Top Bottom