Musachawenyu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 280
- 526
Kazi ya MBOWE haina makosaNdugu zangu hizi habari ni kweli na hakika japo nimeona niziweke kama tetesi.
Kambi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe baada ya tathmini yao ya kina wamegundua kwamba Mbowe hana uwezo wa kumshinda Tundu Lissu kwenye box la kura.
Hivyo tayari wameandaliwa vijana kutoka mikoa mbalimbali wakiongozwa na vijana toka Tarime, Mbeya, Arusha na Kilimanjaro ambao wamepewa maelekezo ya kuleta vurugu katika mkutano Mkuu hapo tarehe 21 January.
Hali hiyo itapelekea uchaguzi huo kushindwa kufanyika na hatimaye Uongozi wa Chadema utamuomba msajiri wa Vyama vya siasa akubali wafanye uchaguzi huo 2026.
Mpango huu ukifanikiwa maana yake agenda ya SSH na Mbowe kumsaidia kusalia madarakani itakuwa imefanikiwa.
Hili jambo lazima litokee, stay and watch out.
Najua unaandika ukiwa kwenye kambi ya wafanya vurugu. Bilioni 12 hakuwezi itemaUnapotunga uongo uwe na akili basi
Mbowe hajali heshima, anawaza maslahi yake na aliyempa mabilioni tu basiItakuwa sawa na mtu anayekunya mbele zawatu heshima yake itabaki wapi huyo Mbowe
Mbowe kwa hali aliyofikia lazima aombe msaada ccmUnapotunga uongo uwe na akili basi
Unapotunga uongo uwe na akili basi
Umesoma na kuelewa au mwamba kakuingizia mpini?Freeman anawapelekea dudu hadi mnalialia mitandaoni... Si mlisema mnamshinda uchaguz mapema... Sasa hivi mmeona haiwezekan mnaleta maneno kama mnaimba taarabu...
Hana namna. Mbowe ni project ya CCM miaka yote.Mbowe kwa hali aliyofikia lazima aombe msaada ccm
Uwezekano huo upo!Unapotunga uongo uwe na akili basi
Huyo ni kijakazi wa kiume 🤣🤣🤣Uwezekano huo upo!
Kama chaguzi hizi za Bawacha na Bavicha watu wanapigana huo mkubwa unafikiri utakuwaje?
Muda mwengine akili yako iweke sawa siyo unaiweka kama Kija Yunus.
Kwasababu baba ako namla kiboga na wew unataka... Haya njoo mtoto mzuri nikutoe marinda nipo hapa kwajil yako...💩Umesoma na kuelewa au mwamba kakuingizia mpini?
Hako kadada ni kanafiki!Najua unaandika ukiwa kwenye kambi ya wafanya vurugu. Bilioni 12 hakuwezi itema
Poleni sana. Kweli lissu kawawekea hogo wote mnaweweseka🤣🤣🤣Kwasababu baba ako namla kiboga na wew unataka... Haya njoo mtoto mzuri nikutoe marinda nipo hapa kwajil yako...💩
Uko sahihi kabisa Mkuu. Anajua kabisa mpango na jinsi Jeshi la Police limeandaliwa kumsaidia MboweHako kadada ni kanafiki!
Kanajifanya mtu wa haki mpenda kweli kumbe naye ni walewale tu kama CCM.
Asije akasema mimi nina chama wala upande! Sina upande wowote wala sina chama chochote! Isipokuwa mimi ni mpenda ukweli.
Anazingua sana anakuwa ni mnafiki mnafiki wakati logic ipo wazi ukiangalia mtiririko wa matukio yanayoendelea kwenye chaguzi zao Chadema.Huyo ni kijakazi wa kiume 🤣🤣🤣
Anajitoa ufahamu sababu ya tumbo tu. Maana yuko pale Makao Makuu na anahofia ataondolewa.Anazingua sana anakuwa ni mnafiki mnafiki wakati logic ipo wazi ukiangalia mtiririko wa matukio yanayoendelea kwenye chaguzi zao Chadema.