Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Huyo Lissu atakuwa ni mtu mkubwa sana. Sidhani kama inaweza kuwa hivyoHazitarudishwa maana wanashirikiana jeshi la Wananchi kuzuia lissu kusinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Lissu atakuwa ni mtu mkubwa sana. Sidhani kama inaweza kuwa hivyoHazitarudishwa maana wanashirikiana jeshi la Wananchi kuzuia lissu kusinda
hii ni hatari kama ni kweliHazitarudishwa maana wanashirikiana jeshi la Wananchi kuzuia lissu kusinda
Vipi mzee🤣🤣🤣Ukifuatilia toka mwanzo timu Lisu wanamuogopa Mbowe sana. Maneno yao yamekuwa "asigombee ameongoza muda mrefu", "anagawa rushwa", "ameandaa vijana wa kuiba kura", "waletwa viongozi wa dini na mabalozi kuendesha uchaguzi" na kumchafua kwa kila namna
Ukikaa na kutafakari unaweza kujiuliza, kama wana uhakika na mgombea wao haya yote ya nini? Mbona wanatafuta sababu hata kabla ya tukio?
Kwa mfano tukiongelea ishu ya rushwa, maana yake hata kama ipo wanaopokea ni wale wasio muunga mkono ambao automatic ni timu Lisu, sasa kama wao ni waadilifu wanawezaji kupokea rushwa?? Kwanini wanaogopa rushwa endapo wanaimani na uadilifu wa timu yao?
Hii timu imejua kuwafurahisha CCM, mwaka huu wanaenda kwenye uchaguzi bila stress ya kupoteza viti vya udiwani na ubunge maana hii minyukano lazima itaendelea hadi huko (wagombea watatokana na timu zao)
Wasiwasi wangu isije kuwa Lisu amepewa mission maalumu ya kuhakikisha CCM hawasumbuliwi kwenye uchaguzi mkuu wagombea wao wapite kiulaani. Watu wenye akili wanafanya kazi kwa akili, Lisu ahojiwe kwa kina nadhani kuna agenda muhimu anayo tofauti na uenyekiti na asipoitimiza kuna gharama atalipa