Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nina wasiwasi sana huu uchaguzi utahujumiwq kwa msaada wa vyombo vya dola.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa siasa haimfai!Anajitoa ufahamu sababu ya tumbo tu. Maana yuko pale Makao Makuu na anahofia ataondolewa.
Sasa anatetea kitumbua chake. Hana lolote huyo kijakazi.
Ni lazima sababu Mbowe anatumika kwa maslahi ya CCM na Serikali yake.Nina wasiwasi sana huu uchaguzi utahujumiwq kwa msaada wa vyombo vya dola.
Shida wamezoea vya kunyonga, vya kuchinja hawaviweziSasa siasa haimfai!
Atafute kazi nyengine ya kufanya!
Tena kazi ya halali!
Hili lipo wazi mnoo!Uko sahihi kabisa Mkuu. Anajua kabisa mpango na jinsi Jeshi la Police limeandaliwa kumsaidia Mbowe
Mbowe ni mlamba asali mzoefu. Na atakuwa alipigwa picha akikabidhiwa maburungutu. Kwa hiyo hana choice zaidi ya kuoga nje uchi akifikiri yuko bafuni.Hili lipo wazi mnoo!
Huu uchaguzi utavurugwa!
Mbowe ameshalambishwa asali.
HawatafanikiwaNdugu zangu hizi habari ni kweli na hakika japo nimeona niziweke kama tetesi.
Kambi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe baada ya tathmini yao ya kina wamegundua kwamba Mbowe hana uwezo wa kumshinda Tundu Lissu kwenye box la kura.
Hivyo tayari wameandaliwa vijana kutoka mikoa mbalimbali wakiongozwa na vijana toka Tarime, Mbeya, Arusha na Kilimanjaro ambao wamepewa maelekezo ya kuleta vurugu katika mkutano Mkuu hapo tarehe 21 January.
Hali hiyo itapelekea uchaguzi huo kushindwa kufanyika na hatimaye Uongozi wa Chadema utamuomba msajiri wa Vyama vya siasa akubali wafanye uchaguzi huo 2026.
Mpango huu ukifanikiwa maana yake agenda ya SSH na Mbowe kumsaidia kusalia madarakani itakuwa imefanikiwa.
Hili jambo lazima litokee, stay and watch out.
Hakuna wa kuratibu thr falling entityNdugu zangu hizi habari ni kweli na hakika japo nimeona niziweke kama tetesi.
Kambi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe baada ya tathmini yao ya kina wamegundua kwamba Mbowe hana uwezo wa kumshinda Tundu Lissu kwenye box la kura.
Hivyo tayari wameandaliwa vijana kutoka mikoa mbalimbali wakiongozwa na vijana toka Tarime, Mbeya, Arusha na Kilimanjaro ambao wamepewa maelekezo ya kuleta vurugu katika mkutano Mkuu hapo tarehe 21 January.
Hali hiyo itapelekea uchaguzi huo kushindwa kufanyika na hatimaye Uongozi wa Chadema utamuomba msajiri wa Vyama vya siasa akubali wafanye uchaguzi huo 2026.
Mpango huu ukifanikiwa maana yake agenda ya SSH na Mbowe kumsaidia kusalia madarakani itakuwa imefanikiwa.
Hili jambo lazima litokee, stay and watch out.
Uzushi hauna faidaUpdates;
Kuna baadhi ya vijana wako Aishi Macrame.
Hao wataingia usiku wa jumatatu. Na wengine watavalishwa mavazi ya jeshi la polisi
Dalili zote zinaonyesha hivyo wala haihitaji elimu kubwa kubaini ushenzi huu unaofanywa na Mbowe na sponsors wake CCMNdugu zangu hizi habari ni kweli na hakika japo nimeona niziweke kama tetesi.
Kambi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe baada ya tathmini yao ya kina wamegundua kwamba Mbowe hana uwezo wa kumshinda Tundu Lissu kwenye box la kura.
Hivyo tayari wameandaliwa vijana kutoka mikoa mbalimbali wakiongozwa na vijana toka Tarime, Mbeya, Arusha na Kilimanjaro ambao wamepewa maelekezo ya kuleta vurugu katika mkutano Mkuu hapo tarehe 21 January.
Hali hiyo itapelekea uchaguzi huo kushindwa kufanyika na hatimaye Uongozi wa Chadema utamuomba msajiri wa Vyama vya siasa akubali wafanye uchaguzi huo 2026.
Mpango huu ukifanikiwa maana yake agenda ya SSH na Mbowe kumsaidia kusalia madarakani itakuwa imefanikiwa.
Hili jambo lazima litokee, stay and watch out.
Zipo za mama na Lissu UtazionaDalili zote zinaonyesha hivyo wala haihitaji elimu kubwa kubaini ushenzi huu unaofanywa na Mbowe na sponsors wake CCM
Mkuu wewe mbona unajulikana ni CHADEMA... usitusumbue..Hako kadada ni kanafiki!
Kanajifanya mtu wa haki mpenda kweli kumbe naye ni walewale tu kama CCM.
Asije akasema mimi nina chama wala upande! Sina upande wowote wala sina chama chochote! Isipokuwa mimi ni mpenda ukweli.
Jambo hili halipaswi kupuuzwa hata hata kidogo.na linatakiwa kuaminiwaUnapotunga uongo uwe na akili basi
🤔😲🤓Ndugu zangu hizi habari ni kweli na hakika japo nimeona niziweke kama tetesi.
Kambi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe baada ya tathmini yao ya kina wamegundua kwamba Mbowe hana uwezo wa kumshinda Tundu Lissu kwenye box la kura.
Hivyo tayari wameandaliwa vijana kutoka mikoa mbalimbali wakiongozwa na vijana toka Tarime, Mbeya, Arusha na Kilimanjaro ambao wamepewa maelekezo ya kuleta vurugu katika mkutano Mkuu hapo tarehe 21 January.
Hali hiyo itapelekea uchaguzi huo kushindwa kufanyika na hatimaye Uongozi wa Chadema utamuomba msajiri wa Vyama vya siasa akubali wafanye uchaguzi huo 2026.
Mpango huu ukifanikiwa maana yake agenda ya SSH na Mbowe kumsaidia kusalia madarakani itakuwa imefanikiwa.
Hili jambo lazima litokee, stay and watch out.
Uzuri Lisu alishasema wazi kuwa picha zake ziondolewe kwenye mabango yaliyokuwa yanahusu maridhiano aliyoita ni upuuzi.Zipo za mama na Lissu Utaziona
Zitawekwa tu akiwa ametembelewa na samia hospitaliUzuri Lisu alishasema wazi kuwa picha zake ziondolewe kwenye mabango yaliyokuwa yanahusu maridhiano aliyoita ni upuuzi.
Lisu alishazuia picha zake kutumika kwenye huo upuuzi uitwao maridhiano