Tetesi: Vurugu zimeratibiwa kuharibu uchaguzi mkuu CHADEMA

Kwakua ni dhahiri chadema ni project ya CCM!bas tuseme kwa pamoja kazi iendelee ndani ya chadema!!
 
Lissu ameshaonywa mara nyingi. Huko nje kwenye vyombo vya habari na mitandaoni hakuna wapiga kura.
Sasa mnaanza kukaribia reality mnachanganyikiwa.
 
Reactions: Tui
Na iwe hivyo
 
Hizi ni habari mbaya sana kw wapenda mageuzi. Lakini kwa nini mbowe anatufanyia hivo sisi watanganyika? Why? Why? Why...??? Ina maana mbowe amekosa uzalendo kiasi hicho?
 
Rushwa ni adui wa haki. Mbowe kalamba pesa na kaingia mkataba mbaya na Samia.
 
Huo mtego inasemekana Lissu alishauona zamani na ameshaandaa mtego, waje tu na fujo zao watakachokutana nacho wataeleza kwanini bata haponi kuharisha.
 
Shida ni kwamba deep state imeandaa kumsaidia Mbowe kwa manufaa ya CCM
 
Uongo mtupu, nyie ndio mnaojaribu kuhujumu uchaguzi kwa kusambaza uzushi Ili kutia watu hofu na kuleta taharuki.
 
Huo itakuwa uhuni wa Heche na Lissu, wanajua uchaguzi huu watapigwa kama ngoma
 
Uongo mtupu, nyie ndio mnaojaribu kuhujumu uchaguzi kwa kusambaza uzushi Ili kutia watu hofu na kuleta taharuki.
Mbowe anajua hakubaliki. Ndio kaandaa haya yote ili aendelee kuwa Mwenyekiti
 
Rushwa ni adui wa haki. Mbowe kalamba pesa na kaingia mkataba mbaya na Samia.
arudishe pesa za watu, yaani amekula pesa akitegemea mtaji ni wanachadema? Zitamtokea puani. Niliwahi kusoma riwaya moja inaitwa "ZA UMMA TAMU LAKINI ZITAKUTOKEA PUANI"
 
Hazitarudishwa maana wanashirikiana jeshi la Wananchi kuzuia lissu kusinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…