Vurugu zimetokea Msikitini huko Kyela, watu wajeruhiwa kwa visu na mapanga

Vurugu zimetokea Msikitini huko Kyela, watu wajeruhiwa kwa visu na mapanga

Status
Not open for further replies.

Lingulasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
565
Reaction score
78
Kuna vurugu kubwa zimeripotiwa kutoka Mbeya ambapo kikundi cha watu wanaojiita waasi wamevamia msikiti na kujeruhi watatu!

.:Ni shambulio msikitini Kyela Mbeya. Kikundi cha watu wanaojiita waasi na wanasema wanafanya kazi na Al Qaeda wamevamia watu wakati wakisali swala ya Eid na kuwajeruhi watatu vibaya kwa visu na mapanga! Mpaka sasa Polisi wamewakamata watuhumiwa watano.

Mpaka sasa Ulinzi umeimarishwa Polisi wapo kila.

Jamani hii ni breaking news updates zitawajia baadaye.

Chanzo: Redio mwangaza

PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana

~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
 
Chanzo Redio mwangaza
kuna vurugu kubwa zimeripotiwa kutoka Mbeya ambapo kikundi cha watu wanaojiita waasi wamevamia msikiti na kujeruhi watatu!
Mpaka sasa polisi inashikilia watano kwa vurugu hizo'

Wanasema nini tatizo hadi vurugu kutokea?
 
Chanzo Redio mwangaza
kuna vurugu kubwa zimeripotiwa kutoka Mbeya ambapo kikundi cha watu wanaojiita waasi wamevamia msikiti na kujeruhi watatu!
Mpaka sasa polisi inashikilia watano kwa vurugu hizo'

Kazi nzuri ya POLISI, na wengine waendelee kusakwa mpaka kieleweke.
 
Msikiti gani unao uzungumzia?
Ule wa karibu na KYERUCU au ule wa Mbugani-Mikumi?Habari yako haieleweki kabisa
 
Halafu Ponda anasema hataki kuwe na kamati za ulinzi na usalama kwenye misikiti. Ha!
 
Chanzo Redio mwangaza
kuna vurugu kubwa zimeripotiwa kutoka Mbeya ambapo kikundi cha watu wanaojiita waasi wamevamia msikiti na kujeruhi watatu!
Mpaka sasa polisi inashikilia watano kwa vurugu hizo'
Tarifa yako haijitosherezi ndiyo nini hiki,tupe tarifa kamili tuelewe.
 
Hivi kuna uhusiano wa kuipenda CCM na kuwa mwislam feki enhee? Riz1 na Hammy D wako kundi hilo.
 
mkuu naona umekurupuka sana kuja huku kuanzisha uzi usio kuwa na nyama za kutosha ni vyema ungekusanya kwanza details za kutosha ndio uje uanzishe uzi hapa jamvini.
coz kwa hii habari yako unaonekana hamnazo na nimtu wa kukurupuka.
hembu rudi kwenye pc yako edit uzi wako bana ili ujumbe wenye nyama utufikie sio hii mifupa ulio tujazia bana
 
Kweli angefafanua zaidi.

ni shambulio msikitini Kyela Mbeya. Kikundi cha watu wanaojiita waasi na wanasema wanafanya kazi na Al Qaeda wamevamia watu wakati wakisali swala ya Eid na kuwajeruhi watatu vibaya kwa visu na mapanga! Mpaka sasa Polisi wamewakamata watuhumiwa watano. Ulinzi umeimarishwa Polisi wapo kila kona
 
Hya ndiyo ungetakiwa kuandika pale juu kwenye uzi, nakushauri uya copy haya maelezo uyapandishe pale kwa ku-edit kwenye uzi juu pale....
 
Msikiti gani unao uzungumzia?
Ule wa karibu na KYERUCU au ule wa Mbugani-Mikumi?Habari yako haieleweki kabisa
Siku hizi Kyela imeingiliwa hapo zamani baba zetu waliishi vizuri baina ya wakristo na waislamu na wasialmu kwa waisamu wenyewe nao waliishi vizuri ,nakumbuka enzi za Sheikh Ibrahim Mwaiposa kote kulikuwa shawari lakini hiki kizazi cha nyoka na muingiliano wa watu tofauti kumeleta madhara mengi hapo Kyela,wengi hawajui utamaduni wa watu wa Kyela.
 
hao watakuwa wale waliokula Idd jana. Wanaovaa suruali njiwa...wale jamaa ni wakatili sana. Tabia zao za Kiponda ponda tu, na ugaidi. I love BAKWATA na waislam wake. Wale wa suruali njiwa Mungu awaadhibu tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom