Vurugu zimetokea Msikitini huko Kyela, watu wajeruhiwa kwa visu na mapanga

Vurugu zimetokea Msikitini huko Kyela, watu wajeruhiwa kwa visu na mapanga

Status
Not open for further replies.
Mijitu hii bwana ni source ya machafuko kila sehemu.
 
Vurugu za msikitini tayari polisi wamewakamata watuhumiwa! Lakini lile bomu la kanisani hadi leo watuhumiwa hawajakamatwa!!!
 
Dini ya ala subiana wataala.
Watu wanagombania bikra.
Kwanini isifutwe? wapi tendwa!
 
The only good things about Islam or Muslims they hate and like to kill each other
 
The only good things about Islam or Muslims they hate and like to kill each other

Oops, 'mwenzako akikupatia kibano, basi nawe tumia force au kipimo kile kile kumrudishia kibano' imeandikwa hivyo.
 
Mufti muda huu nilitegemea uwe masjid, vipi. yaani we muda wote upo JF tu, unamswalia Mtume lini?

Jamani hii ni forum kama mnataka habari zilixo haririwa subirini kesho magazetini, alichokifanya mleta mada na ndivyo tunavyofanya wengi ni kutoa taarifa kisha atandelea kutujuza..sasa mkujenga tabia ya kushambuliana jf haitakuwa na maana mtasubiri magazeti na vyombo vingine vihariri ndiyo tupate habari mnasahau kuwa hata jeshi la polisi siku hizi linategemea taarifa kutoka jf na waandishi wa habari yaani wakiaha sikia jf ndiyo wanaenda eneo husika..
 
Kuna vurugu kubwa zimeripotiwa kutoka Mbeya ambapo kikundi cha watu wanaojiita waasi wamevamia msikiti na kujeruhi watatu!
.:Ni shambulio msikitini Kyela Mbeya.Kikundi cha watu wanaojiita waasi na wanasema wanafanya kazi na Al Qaeda wamevamia watu wakati wakisali swala ya Eid na kuwajeruhi watatu vibaya kwa visu na mapanga! Mpaka sasa Polisi wamewakamata watuhumiwa watano. Mpaka sasa Ulinzi umeimarishwa Polisi wapo kila..
Jamani hii ni breaking news updates zitawajia baadaye.

Chanzo: Redio mwangaza
Habari yako inaongozwa na hisia zako binafsi!
 
Ni uhasama mkubwa kati ya msikiti wa wana Kyela wazawa chini ya Shehe Mwafulango na ule wa Mbugani unaoitwa wa watu wa Kigoma!!

Sasa ugomvi huu ulio ripotiwa unahusisha msikiti upi?Khamis Mwangasama simu yake hapokei angetueleza tu!

Nahofia kuitwa mkabila lakini hawa Waha wamekuwa chanzo cha vurugu nyingi hapo Kyela hata kwenye viwanja wamekuwa wakiwarubuni wajane na akina mama wasiojua kitu kwa kuwalaghai na fedha kiduchu ili kununua viwanja ,hata wakionywa wanakuwa wabishi ni tofauti na makabila mengine yanayoishi Kyela ,kuna Wakinga tupo nao miaka na miaka lakini hatusikii hayo wanayoyafanya Waha wahamiaji wa hapo Kyela
 
Mmmmmh! Jamani Haya majanga ya nini tena?
Mwenyenzi MUNGU Mwingi wa Rehema hatutakuacha kukutaja Bwana,wape kupona mapema hawa Ndg zetu waliojeruhiwa na maharamia Baba!

Usitupite Bwana wa majeshi!
 
Hauleweki...


Tukusaidiaje Ritz.

Newz inasema ya kwamba msikiti mmoja huko Mkoani Mbeya wilaya ya Kyela umevamiwa na watu watu wasiojulikana na baadhi ya waumini wamejeruhiwa.

Bila shaka utanicopy mpaka hapo!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom