Vurugu zimetokea Msikitini huko Kyela, watu wajeruhiwa kwa visu na mapanga

Vurugu zimetokea Msikitini huko Kyela, watu wajeruhiwa kwa visu na mapanga

Status
Not open for further replies.
Mwe! Mbona ma-CCM mna wasiwasi sana? Hizi ni vurugu za Waislam wenyewe kwa wenyewe, sio za wakristo na waislam hivyo msiogope kwani hatutasema kuwa mmehusika! Ama kweli, ukishaumwa na nyoka halafu unyasi ukikugusa unaweweseka, mkome kueneza udini!
 
History na connect dots.. mbeya.. cdm.. jeshi jekundu..

Napita
 
waasi gani tena ina maana ni waislam waasi?au? na kwa kuumiza wenzio wanapata nini jamani mi nadhani hii nchi sasa inahitaji formatting maana huyu virus aliyepo antivirus haitoshi!!!balaa gani hili waislam kwa waislam mbona wakristo wapo madhehebu elfu na lakini kupigana mavisu hapana...jamani utofauti wa dini unahusiana vipi na kuua wengine we siuamini unachoamini tutajua aliyesawa baada ya maisha haya kuliko kuhukumiana hadi kuumizana maana hata kama unataka awe mfuasi wako ukimuua atakuwaje sasa na hana uhai?
 
Kaeleza alichokipata kwa wakati huo na akaahidi kutujuza baadaye akipata habari zaidi. Kipi hamuelewi. Au akili yote mmehamishia kwenye pilau ya idd
 
Siku hizi Kyela imeingiliwa hapo zamani baba zetu waliishi vizuri baina ya wakristo na waislamu na wasialmu kwa waisamu wenyewe nao waliishi vizuri ,nakumbuka enzi za Sheikh Ibrahim Mwaiposa kote kulikuwa shawari lakini hiki kizazi cha nyoka na muingiliano wa watu tofauti kumeleta madhara mengi hapo Kyela,wengi hawajui utamaduni wa watu wa Kyela.

waislamu wa ujiji wakivamia sehemu utajuta wana njaa kweli yan!
 
Siku hizi Kyela imeingiliwa hapo zamani baba zetu waliishi vizuri baina ya wakristo na waislamu na wasialmu kwa waisamu wenyewe nao waliishi vizuri ,nakumbuka enzi za Sheikh Ibrahim Mwaiposa kote kulikuwa shawari lakini hiki kizazi cha nyoka na muingiliano wa watu tofauti kumeleta madhara mengi hapo Kyela,wengi hawajui utamaduni wa watu wa Kyela.

Ni uhasama mkubwa kati ya msikiti wa wana Kyela wazawa chini ya Shehe Mwafulango na ule wa Mbugani unaoitwa wa watu wa Kigoma!!

Sasa ugomvi huu ulio ripotiwa unahusisha msikiti upi?Khamis Mwangasama simu yake hapokei angetueleza tu!
 
Waislam sisi bwana tunaacha kushikamana kwenye mambo ya msingi leo tunaanza kuchinjana na huenda ni haya haya ya mmuandamo mwezi ajabu kabisa ni chuki na uhasama!huenda lakini msininukuu vibaya!
 
...Just to balance/ neutralize issues with churches, ili ionekane UGAIDI UPO HADI MISIKITINI of whch was/is/will not..... fake hii....

... kutupumbuza tu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom