Vurugu zimetokea Msikitini huko Kyela, watu wajeruhiwa kwa visu na mapanga

Vurugu zimetokea Msikitini huko Kyela, watu wajeruhiwa kwa visu na mapanga

Status
Not open for further replies.
Pawepo na Msajili wa Dini atakayekuwa anatishia kuifuta dini kama afanyavyo Tendwa. Teh teh teh teeeh
 
Itakuwa chadema hao labada DPP mwigulu ataelezea vizuri zaidi
 
Hawa jamaa ni hatari sana, Mara nyingi nimeshuhudia vurugu zao kule Songea.

Kwe sikukuu kama hizi FFU wanakuaga makini na hawa ndugu zetu, wenyewe ni kupingana kila kitu na waislam wa kawaida.

Utambulisho wao ni suruali fupi fupi.!
 
waasi gani tena ina maana ni waislam waasi?au? na kwa kuumiza wenzio wanapata nini jamani mi nadhani hii nchi sasa inahitaji formatting maana huyu virus aliyepo antivirus haitoshi!!!balaa gani hili waislam kwa waislam mbona wakristo wapo madhehebu elfu na lakini kupigana mavisu hapana...jamani utofauti wa dini unahusiana vipi na kuua wengine we siuamini unachoamini tutajua aliyesawa baada ya maisha haya kuliko kuhukumiana hadi kuumizana maana hata kama unataka awe mfuasi wako ukimuua atakuwaje sasa na hana uhai?
Hujasikia kama huko KKKT,WANAPIGANA MPAKA MAPANGA?NA KWINGINE WATUPIANA MABOMU MAKANISANI?WATU WAOVU WAPO KOKOTE,SIO MAHALI MAALUMU.
 
Kuna mashambulizi ya kigaidi yametokea au waumini wengine wamejiita waasi na kuvuruga ibada?
 
Nashangaa mnapowashangaa watu kuwa jf mda mwingi kwani kutumia au kiingia jf ni mpaka utandike mkeka ipikwe kahawa au tatizo nn mfano cm yangu popote nikiskia kuboreka tu nashinga cm yangu nafungua napata birudani kama ivi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom