MpiganiaUhuru
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 777
- 912
hii dini si ifutwe tu
hii dini si ifutwe tu
Wanagombania nini
Siku hizi Kyela imeingiliwa hapo zamani baba zetu waliishi vizuri baina ya wakristo na waislamu na wasialmu kwa waisamu wenyewe nao waliishi vizuri ,nakumbuka enzi za Sheikh Ibrahim Mwaiposa kote kulikuwa shawari lakini hiki kizazi cha nyoka na muingiliano wa watu tofauti kumeleta madhara mengi hapo Kyela,wengi hawajui utamaduni wa watu wa Kyela.

Dini zingine bhana.
Inaonyesha bado haujastaarabika na hujaelimika
Ikisha futwa ili iweje? siyo wote wanaweza kula Nguruwe.
Utakuwa mbumbumbu wewe. AmeelewekaHauleweki...