Vurugu zisizoisha kitongoji ninachoishi Afrika Kusini

Asante mkuu, ni nchi ngumu sanaa I wish nikichange nitoke hapa

Mtu mwingine ataona kama hadithi ya kutunga
Siku nimepanda gari kutoka cape town kuja Jos Kisha safari ya dar nilisema "I will never forget this place,home away from home" ukisikia dar Kuna uhalifu unajiuliza huo uhalifu uko wapi!?
 
Ulikuwa unalipa kodi kama TSH kwa mwezi? Kwa nyumba ya namna gani?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Afrika Kusini hawatumii Tanzanian Shillings, fedha yao inaitwa Rand (South African Rand, ZAR ). ZAR is the short form of "Mzansi Rand", in Xhosa venecular language, "Mzansi" ni neno la kabila la Xhosa likimaanisha "Afrika ya Kusini".
Kiwango cha Kodi tulichokuwa tunalipa kilikuwa kinatofautiana kutokana na sababu mbalimbali, kulingana na Mji, mahali nyumba ilipo na ubora wa nyumba husika inayapangishwa.
Kwa mfano, Rosebank na Saxonwold (Houghton) jijini Johannesburg tulikuwa tunalipa kiasi kati ya Rand 8,500 hadi Rand 13,000 kwa Mwezi kwa miaka ile. Kwa eneo la Camps Bay Beach, Cape Town kodi ya nyumba nakumbuka ilikuwa Rand 11,000 kwa Mwezi na eneo la Dan Pieenar na Westdene (Brandwagg), katika jiji la Bloemfontein kodi ya nyumba nakumbuka ilikuwa kati ya Rand 6,000 na Rand 7,500 kwa Mwezi. Exchange rate kwa wakati ule ilikuwa 1 ZAR= Tsh. 170.
Kimsingi maeneo hayo ni salama sana kwa kuishi na doria za Mapolisi huko ni muda wote usiku na mchana(mapolisi weusi wa Kiafrika huko hawapo, ni mapolisi wazungu tu wapo huko), lakini tabu yake ni kwamba gharama za maisha huko ni kubwa sana ukiachilia mbali na viwango vikubwa vya Kodi za nyumba kama nilivyoonyesha hapa juu.
But all in all, gharama hizo ni ndogo ukilinganisha na gharama kubwa zaidi ya kupoteza uhai ( kufa) endapo kama utaamua kwenda kuishi kwenye makazi ya watu weusi ndani ya miji ya South Africa.
 
Afrika Kusini hawatumii Tanzanian Shillings, fedha yao inaitwa Rand (South African Rand, ZAR ). ZAR is the short form of "Mzansi Rand", in Xhosa venecular language, "Mzansi" ni neno la kabila la Xhosa likimaanisha "Afrika ya Kusini".
Kiwango cha Kodi tulichokuwa tunalipa kilikuwa kinatofautiana kutokana na sababu mbalimbali, kulingana na Mji, mahali nyumba ilipo na ubora wa nyumba husika inayapangishwa.
Kwa mfano, Rosebank na Saxonwold (Houghton) jijini Johannesburg tulikuwa tunalipa kiasi kati ya Rand 8,500 hadi Rand 13,000 kwa Mwezi kwa miaka ile. Kwa eneo la Camps Bay Beach, Cape Town kodi ya nyumba nakumbuka ilikuwa Rand 11,000 kwa Mwezi na eneo la Dan Pieenar na Westdene (Brandwagg), katika jiji la Bloemfontein kodi ya nyumba nakumbuka ilikuwa kati ya Rand 6,000 na Rand 7,500 kwa Mwezi.

20230606_134839.jpg

Nipo haike sport natoka cape town naelekea bledasdroop, hapa nimeshuka caledon nimeacha n2 uelekeo bledasdroop ila nasikia wanakiwasha nitaenda kujua huko huko nchi tunaidai hii,, no retreat no surrender
 
View attachment 2650822
Nipo haike sport natoka cape town naelekea bledasdroop, hapa nimeshuka caledon nimeacha n2 uelekeo bledasdroop ila nasikia wanakiwasha nitaenda kujua huko huko nchi tunaidai hii,, no retreat no surrender
Be very careful na uvamizi mashambulizi ya risasi za moto barabarani au hata nyumbani.
 
Msalimie sheikh chanja

Ah ah ah ah

Pengine ndio mimi ah ah

Zimefika- sheikh wetu huyoo
Alafu muandamizi kabsa- kuanzia cranks, Na viunga vyake , kysna kote,PE- kote , Plett, Gorge Na sehemu nyingi nyingi heshima ziwe nyingi kwake sheikh CHANJA
 
Siku nimepanda gari kutoka cape town kuja Jos Kisha safari ya dar nilisema "I will never forget this place,home away from home" ukisikia dar Kuna uhalifu unajiuliza huo uhalifu uko wapi!?

Nchi chafu sanaa hii mkuu
 
Afrika Kusini hawatumii Tanzanian Shillings, fedha yao inaitwa Rand (South African Rand, ZAR ). ZAR is the short form of "Mzansi Rand", in Xhosa venecular language, "Mzansi" ni neno la kabila la Xhosa likimaanisha "Afrika ya Kusini".
Kiwango cha Kodi tulichokuwa tunalipa kilikuwa kinatofautiana kutokana na sababu mbalimbali, kulingana na Mji, mahali nyumba ilipo na ubora wa nyumba husika inayapangishwa.
Kwa mfano, Rosebank na Saxonwold (Houghton) jijini Johannesburg tulikuwa tunalipa kiasi kati ya Rand 8,500 hadi Rand 13,000 kwa Mwezi kwa miaka ile. Kwa eneo la Camps Bay Beach, Cape Town kodi ya nyumba nakumbuka ilikuwa Rand 11,000 kwa Mwezi na eneo la Dan Pieenar na Westdene (Brandwagg), katika jiji la Bloemfontein kodi ya nyumba nakumbuka ilikuwa kati ya Rand 6,000 na Rand 7,500 kwa Mwezi.
Kimsingi maeneo hayo ni salama sana kwa kuishi na doria za Mapolisi huko ni muda wote usiku na mchana(mapolisi weusi wa Kiafrika huko hawapo, ni mapolisi wazungu tu wapo huko), lakini tabu yake ni kwamba gharama za maisha huko ni kubwa sana ukiachilia mbali na viwango vikubwa vya Kodi za nyumba kama nilivyoonyesha hapa juu.
But all in all, gharama hizo ni ndogo ukilinganisha na gharama kubwa zaidi ya kupoteza uhai ( kufa) endapo kama utaamua kwenda kuishi kwenye makazi ya watu weusi ndani ya miji ya South Africa.

Absolutely [emoji1478]
 
Mkataa kwao mtumwa, Mimi na hii ardhi niliyozaliwa ndo jeuri yangu ilipo hapa hamna mtu ananiambia kitu... Nitapambana hapahapa na ni lazima nitoboe tu.

Dunia nzima yetu hatujawekewa mipaka amini vilee imani yako ipo, ntazunguuka dunia nzima nikipata opportunity

Na bila hofu yeyote na kifua mbelee na kama M/Mungu angetaka watu waishi walipo zaliwa tu angeweka ukuta usiopitika katika kila nchi na nchi
 
Mimi kwani nimekunyima mkuu?
 
Mtoto wa mama

Mimi nikajua mwanaume kweli kumbee kipusa, mchele , shoga, kitumbua

Sisi ngoja tukazunguruke dunia wewe tulia tu tanzania changamoto za maisha tutakuwekea JF - utajifunza kwa kusoma kama hivyoo , ukijiona hauwezi fika hata nusu hustle zetu tukana tu kama hivyo

Najua face to face hauwezi kutukana hata kidogo sema Kwa vilee umepata chance mtandaoni endelea kutukana
 
Back
Top Bottom