wale jamaa wanapaswa kurudi tena darasani, na mifumo ya ulinzi au usafirishaji hela unadirike sasa kuliko kutumia mbinu za kizamani..
Wanaendesha magari wakitanua kushoto na kulia bila kuzingatia maeneo wanayofanya hivyo, unakuta eneo lina korongo kushoto na kulia wao wanatanua huku wakijua wewe huna pwakweda ssasa sijui uende kolongoni au mtaloni?, Zebra crossing wao wananyoosha tu..
Hata kama unasafirisha hela au mgonjwa hupaswi kuacha madhara mengine nyuma... Dereva akamatwe apewe kesi ya kuua kwa kukusudia na hukumu iwe kunyongwa mpaka afe tena kesi iende haraka ndani ya miezi miwili na kunyongwa anyongwe haraka...ni PUMBAVU huyo amefanya kabisa, wengine watajifunza..
Hii misafara na usafirishaji wa hela vikome kwenye hizi highways vichochoro, barabara zenyewe nyembamba halafu bado tunalazimisha ujinga huu...
Hela zisafirishwe na Cargo plane mpaka mkoa husika au hellicopter za jeshi tena wawe wanalipia kuliko kuleta usumbufu, ajali na vifo visivyo vya lazima...