VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Sesten Zakazaka, Hahahaaa. Lol. Ila wanaume kwa uoga hamjambo sa sijui ndio nyendo zenu ambazo mnazijua wenyewe. [emoji12] [emoji12]

Lakini bora mwisho wa siku ulienda ukaujua ukweli wa mambo.
 
@Hajar Kama nakuona vile kimoyo kilivyokuwa kinadunda pale kwenye benchi la kusubiria[emoji23][emoji23]
Ile kazi sio mchezo ujue..
Tena kama unakumbukumbu ya faulo zako mbilitatu ulizozipiga kipindi chanyuma[emoji3]
Hahahaaa. Walaaaaa. [emoji12] Mie huwa sina faulo jamani lol. [emoji85] [emoji85]

Kazi hiyo ipo kwenu stardust JK.
 
Hahahaaa. Lol. Ila wanaume kwa uoga hamjambo sa sijui ndio nyendo zenu ambazo mnazijua wenyewe. [emoji12] [emoji12]

Lakini bora mwisho wa siku ulienda ukaujua ukweli wa mambo.
Kwani Ke hua hawaogopi kupima Hajar? Mi naona kwavile tu wanalazimika kupima wakiwa wajawazito
 
Kwani Ke hua hawaogopi kupima Hajar? Mi naona kwavile tu wanalazimika kupima wakiwa wajawazito
Hahaaa. Wapo wanaoogopa ila saa nyingine uoga unaletwa na huo upande wa pili wa shilingi sababu unaweza kuta Me aliyesababisha hiyo mimba ni kiwembe hatari ila mdada wa watu katulia.

Hapo lazima hofu iwepo Sesten.
 
Hahaaa. Wapo wanaoogopa ila saa nyingine uoga unaleta na huo upande wa pili wa shilingi sababu unaweza kuta Me aliyesababisha hiyo mimba ni kiwembe hatari ila mdada wa watu katulia.

Hapo lazima hofu iwepo Sesten.
Kwa hilo nakubaliana na wewe Hajar
 
Huo ushauri nasaha kabla ya majibu ndo unaovunja moyo hata kama hauna..
Unaweza ukamkimbia doctor katikati ya ushauri ujue[emoji23]
Hahahaaaa. Nimecheka kwa sauti na kuvuta picha watu wanavyokaa nusu nusu kama wanataka kukaa chini vile kumbe ni uoga wa majibu. Lol
 
Hahaaaa. Sawa.

Ila naombea ikiwezekana mpimwe tu kwa kweli. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kupima mbona rahisi, kazi kwenye kuchukua majibu. Halafu yule mshauri nasaha anavyoeleza ukikutwa na maambukizi fanya hivi au vile, usiache kutumia dawa na mlolongo kibao mpaka unasema ndio tayari tena nn! Halafu ndio anakuja upande wapili anakwambia kama huna maambukizi endelea kujichunga na blah blah kibao, yaani ni kama vile mshabiki mwenye presure wa Yanga anavyofatilia mechi na Simba, maana sometimes utatamani uzime tV
 
Back
Top Bottom