VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Hahahaaaa. Itabidi siku moja ukiwa unataka kwenda kucheck afya tufuatane kwa kweli ili nione jinsi mapigo ya moyo wako yatakavyokuwa yanaenda. [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sijui kama hutaaga Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baada ya kuchukuliwa vipimo nitakuachia namba utanitumia majibu kwa meseji
 
Hahaaa. Lol.

Kwa nini sasa. [emoji12] [emoji12]
Ndio njia nzuri ya kuepuka pressure, hapo unamkwepa yule mshauri nasaha. Halafu mara nyingi wanakuaga wamama/wadada wanaongea kwa utuliiivu na kujiamini halafu wapo serious! ukiwa pale inanikumbusha enzi za utoto umeingizwa chumba cha sindano unawakuta wanazipanga singano zao vizuri na mwingine kaishika basi unajaribu kuwaamkia wale manesi unaowakuta mle labda watakusamehe wasikuchome
 
Hakuna namna, wanaume sisi ni wabishi wa kupima na kujua afya zetu na hivyo tunasababisha kuendelea kusambaa kwa VVU. Nilifanya kazi CTC, wateja asilimia 60+ ni wanawake kwa kuwa wao sio wagumu wa kucheki afya na pia ni LAZIMA wapime VVU wakianza Maternal Clinic.

Mama akigundua ni HIV positive kimbembe kinakuja ataanzaje kumwambia baba, mwisho wa siku anaanza dawa kimya kimya.
kafie mbele huko? shida yenu kunyoosheana vidole mtaani! dawa zenyewe feki wanatengeneza ndugu zenubwenye kadi za chama tawala
 
Kwaio wakumkuta mtu anao watampa pesa yakununua matunda namsosi au ndo kuachana nastress usawa huu wavyuma!! pima at your own risk

Duh!! Tuna safari ndefu sana tena sana kuelekea TZ ya viwanda if at all IPO.

Kwa hiyo matunda na msosi unatumia tu unapokuwa na VVU??
 
Naomba kuoimwa Fasta,
Pia Ntakuwa natembea na Kipimio nikimpenda Mchuchu tuu nampima halafu ndo tunagegedana....hahahhaa
 
Wana ujuzi wa kukwepa vitu vyenye ncha kali?
Tuna watalaamu mahiri waliobobea kwenye michezo ya kujihami kwa ajili ya kuwadhibiti baadhi ya wapimwaji waliodhamiria kulifanya zoezi lionekana ni la kutumia nguvu.......

Mmoja wa kati ya hao wataalamu anasema kuwa udhoefu wa kudhibiti watu wa aina hiyo aliupata baada kusimamia zoezi la kuwapa chanjo wagonjwa wa milembe na rutindi
 
Duh!! Tuna safari ndefu sana tena sana kuelekea TZ ya viwanda if at all IPO.

Kwa hiyo matunda na msosi unatumia tu unapokuwa na VVU??
Hayo ndo mashart yangwengwe ili kupambana nakorosho(ARVs) ukiwa huna ngoma matunda unakula pale unapo yapata ila ukiwa nao no option lazma ule matunda msos mzur na zoez hatakama hupend
 
Hayo ndo mashart yangwengwe ili kupambana nakorosho(ARVs) ukiwa huna ngoma matunda unakula pale unapo yapata ila ukiwa nao no option lazma ule matunda msos mzur na zoez hatakama hupend

Sawa. Nimekuelewa. Endelea hivyo hivyo.
 
Watanikuta wapi?

hawatatumia njia hiyo unayoifikiria ila siku ukienda hospitali kupima mfano maralia damu yako itapimwa na ngoma kabisa kimya kimya then matokeo yanahifadhiwa na serikali itapata idadi ya wenye ngoma
 
Back
Top Bottom