Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Sijui wanampango gani na sisi hao jamaaAndamaneni tu lakini kupimwa ni lazima. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui wanampango gani na sisi hao jamaaAndamaneni tu lakini kupimwa ni lazima. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baada ya kuchukuliwa vipimo nitakuachia namba utanitumia majibu kwa mesejiHahahaaaa. Itabidi siku moja ukiwa unataka kwenda kucheck afya tufuatane kwa kweli ili nione jinsi mapigo ya moyo wako yatakavyokuwa yanaenda. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sijui kama hutaaga Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaaa. Sijui mie ila lazima mpango upo tu Sesten sababu Waziri asingeongea vile.Sijui wanampango gani na sisi hao jamaa
kuongoza maiti ni raha sanaKuongoza wajinga ni raha sana
Hahaaa. Lol.Baada ya kuchukuliwa vipimo nitakuachia namba utanitumia majibu kwa meseji
waanze bungeni kupima wenyewe..wakianza na spikaMimi ili nipime,aanze Kwanza yeye huyo wazir Mkuu,maana hawa viongozi wao ndo sio wazima
Aaaahh, haya ngoja tu tuamini kua wanatutakia mema maana sio kwa kampeni hizi!Hahahaaaaa. Sijui mie ila lazima mpango upo tu Sesten sababu Waziri asingeongea vile.
Ndio njia nzuri ya kuepuka pressure, hapo unamkwepa yule mshauri nasaha. Halafu mara nyingi wanakuaga wamama/wadada wanaongea kwa utuliiivu na kujiamini halafu wapo serious! ukiwa pale inanikumbusha enzi za utoto umeingizwa chumba cha sindano unawakuta wanazipanga singano zao vizuri na mwingine kaishika basi unajaribu kuwaamkia wale manesi unaowakuta mle labda watakusamehe wasikuchomeHahaaa. Lol.
Kwa nini sasa. [emoji12] [emoji12]
Hahaaa. Inabidi tu sasa.Aaaahh, haya ngoja tu tuamini kua wanatutakia mema maana sio kwa kampeni hizi!
kafie mbele huko? shida yenu kunyoosheana vidole mtaani! dawa zenyewe feki wanatengeneza ndugu zenubwenye kadi za chama tawalaHakuna namna, wanaume sisi ni wabishi wa kupima na kujua afya zetu na hivyo tunasababisha kuendelea kusambaa kwa VVU. Nilifanya kazi CTC, wateja asilimia 60+ ni wanawake kwa kuwa wao sio wagumu wa kucheki afya na pia ni LAZIMA wapime VVU wakianza Maternal Clinic.
Mama akigundua ni HIV positive kimbembe kinakuja ataanzaje kumwambia baba, mwisho wa siku anaanza dawa kimya kimya.
Kwaio wakumkuta mtu anao watampa pesa yakununua matunda namsosi au ndo kuachana nastress usawa huu wavyuma!! pima at your own risk
Kwel kbsa haiwezekan kila siku anaenda abroad kutibiwawaanze bungeni kupima wenyewe..wakianza na spika
Tuna watalaamu mahiri waliobobea kwenye michezo ya kujihami kwa ajili ya kuwadhibiti baadhi ya wapimwaji waliodhamiria kulifanya zoezi lionekana ni la kutumia nguvu.......Wana ujuzi wa kukwepa vitu vyenye ncha kali?
Hayo ndo mashart yangwengwe ili kupambana nakorosho(ARVs) ukiwa huna ngoma matunda unakula pale unapo yapata ila ukiwa nao no option lazma ule matunda msos mzur na zoez hatakama hupendDuh!! Tuna safari ndefu sana tena sana kuelekea TZ ya viwanda if at all IPO.
Kwa hiyo matunda na msosi unatumia tu unapokuwa na VVU??
Hayo ndo mashart yangwengwe ili kupambana nakorosho(ARVs) ukiwa huna ngoma matunda unakula pale unapo yapata ila ukiwa nao no option lazma ule matunda msos mzur na zoez hatakama hupend
hatari sana hiyoPopote watakapokukuta!!!!!.....
Nasikia watakuwa wanatembea barabarani kama wale vijana mawakala wa mitandao ya simu
Watanikuta wapi?