Hahahaaa. Walaaaaa. [emoji12] Mie huwa sina faulo jamani lol. [emoji85] [emoji85]@Hajar Kama nakuona vile kimoyo kilivyokuwa kinadunda pale kwenye benchi la kusubiria[emoji23][emoji23]
Ile kazi sio mchezo ujue..
Tena kama unakumbukumbu ya faulo zako mbilitatu ulizozipiga kipindi chanyuma[emoji3]
Kwani Ke hua hawaogopi kupima Hajar? Mi naona kwavile tu wanalazimika kupima wakiwa wajawazitoHahahaaa. Lol. Ila wanaume kwa uoga hamjambo sa sijui ndio nyendo zenu ambazo mnazijua wenyewe. [emoji12] [emoji12]
Lakini bora mwisho wa siku ulienda ukaujua ukweli wa mambo.
Hebu apia Hajar, halafu mwezi huu hairuhusiwi kudanganya ujue, utaharibu funga yako bure, hahahaaaaaHahahaaa. Walaaaaa. [emoji12] Mie huwa sina faulo jamani lol. [emoji85] [emoji85]
Kazi hiyo ipo kwenu stardust JK.
Hahaaa. Wapo wanaoogopa ila saa nyingine uoga unaletwa na huo upande wa pili wa shilingi sababu unaweza kuta Me aliyesababisha hiyo mimba ni kiwembe hatari ila mdada wa watu katulia.Kwani Ke hua hawaogopi kupima Hajar? Mi naona kwavile tu wanalazimika kupima wakiwa wajawazito
Hahaaa. Nichokoze tu Sesten.Hebu apia Hajar, halafu mwezi huu hairuhusiwi kudanganya ujue, utaharibu funga yako bure, hahahaaaaa
Kwa hilo nakubaliana na wewe HajarHahaaa. Wapo wanaoogopa ila saa nyingine uoga unaleta na huo upande wa pili wa shilingi sababu unaweza kuta Me aliyesababisha hiyo mimba ni kiwembe hatari ila mdada wa watu katulia.
Hapo lazima hofu iwepo Sesten.
Hahaaaa. Sawa.Kwa hilo nakubaliana na wewe Hajar
Basi ngoja niamini usemayo maana na swaum hii huwezi kudanganya eeh?Hahaaa. Nichokoze tu Sesten.
Mie na kudanganya wapi na wapi jamaani. [emoji85] [emoji85] huo ni ukweli mtupu. Hahaaaa.
Umeonaeeee japo hata nje ya funga Hajar sio muongo kabisaaaaaa.Basi ngoja niamini usemayo maana na swaum hii huwezi kudanganya eeh?
Hahahaaaa. Nimecheka kwa sauti na kuvuta picha watu wanavyokaa nusu nusu kama wanataka kukaa chini vile kumbe ni uoga wa majibu. LolHuo ushauri nasaha kabla ya majibu ndo unaovunja moyo hata kama hauna..
Unaweza ukamkimbia doctor katikati ya ushauri ujue[emoji23]
Kama huna faulo kidooogo hutokuwa na wasiwasi,.. Ila utakua unajipa moyo kiuongouongo[emoji3]Hahahaaa. Walaaaaa. [emoji12] Mie huwa sina faulo jamani lol. [emoji85] [emoji85]
Kazi hiyo ipo kwenu stardust JK.
Hahahaaaaaa. Bila kujipa moyo ndio yanakuwa yale ya Sesten yaani kapima leo halafu majibu anayafuata kesho lol.Kama huna faulo kidooogo hutokuwa na wasiwasi,.. Ila utakua unajipa moyo kiuongouongo[emoji3]
Kupima mbona rahisi, kazi kwenye kuchukua majibu. Halafu yule mshauri nasaha anavyoeleza ukikutwa na maambukizi fanya hivi au vile, usiache kutumia dawa na mlolongo kibao mpaka unasema ndio tayari tena nn! Halafu ndio anakuja upande wapili anakwambia kama huna maambukizi endelea kujichunga na blah blah kibao, yaani ni kama vile mshabiki mwenye presure wa Yanga anavyofatilia mechi na Simba, maana sometimes utatamani uzime tVHahaaaa. Sawa.
Ila naombea ikiwezekana mpimwe tu kwa kweli. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa kama ni hivyo nimempenda bureeeeUmeonaeeee japo hata nje ya funga Hajar sio muongo kabisaaaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]