VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Hakikisha wakati wa tendo anakua wet kiasi kwamba michubuko haitatokea, na inawezekana kabisa akabeba ujauzito mkapata watoto wasiokua waathirika, muhimu nikushauri mkaonane na madaktaru watawaeleza kwa undani kwa uwanja mpana kabisa
Mind you hajawah fanyaa na ndo mara ya kwanza je haitakuwa na shida manake siku ya kwanza unaijuaa kasheshe lake hasa sisi wasichana
 
yani ikifikia hatua hii ndio huwa nashindwa kuuwelewa huu ugonjwa,hivi mama amuweke tumboni mtoto miezi 9 alafu mtoto azaliwe bila kuwa na UKIMWI
Mungu alivyomuumba binadamu damu inayotoka kwa mama kwenda kwa mtoto inachujwa sana sawa na damu inauikwenda kwenye ubongo. Zamani watoto walipata maambukizi wakati wa kuzaliwa na kunyonyesha
 
wengi watakulambalamba kwa ushauri wa kitoto ila jibu ni moja tu ACHANA NAE HARAKA siku zote ndege wafananao huruka pamoja
Ila ww ni zaidi ya yule anayebekwa mwanaume una roho mbayaa ww kama mkata roho hebu tokaga hapaa
 
Mind you hajawah fanyaa na ndo mara ya kwanza je haitakuwa na shida manake siku ya kwanza unaijuaa kasheshe lake hasa sisi wasichana
Ndio mana nikamalizia pale mwisho kua la umuhim zaidi aende hospital huko wataelezwa kwa upana na urefu na hope itakua hivyo
 
Mind you hajawah fanyaa na ndo mara ya kwanza je haitakuwa na shida manake siku ya kwanza unaijuaa kasheshe lake hasa sisi wasichana
Ikiwezekana atumie hata vilainishi ili wasichubuane.

Wapo wengi wanaoishi mmoja ni positive mwingine negative. Cha msingi afuate ushauri wa daktari.
 
Shukrani sana ndugu...
 
Inashangaza sana ndugu yangu... ngoja wataalamu waendelee kutiririka!

hapo mbona rahisi tu, mtoto tumboni anajitegemea kila kitu na hasa mfumo wa damu na hategemei mama yake isipokuwa virutubisho vingine ambavyo navyo ili viingie kwa mtoto huchujwa sana na umbilical cord au kondo la nyuma na kuruhusu tu kile kinachotakiwa na mtoto tu. Kwa hiyo hakuna kijidudu chochote kinaweza kukatiza hapo na kumfikia mtoto. ingawa kama afya ya mama ni dhaifu mtoto aweza kuathirika lakini uwezekana ni mdogo sana sana, watoto wengi huathirika wakati wa kuzaliwa iwapo hali ya mama haijulikani au kama inajulikana na wauguzi hawakuwa makini
 
Mkuu ebu fafanua vizuri hpo kwenye suluhisho la huu ugonjwa.
 
wengi watakulambalamba kwa ushauri wa kitoto ila jibu ni moja tu ACHANA NAE HARAKA siku zote ndege wafananao huruka pamoja

Mkuu kusema niachane nae hilo haliwezekani kabisa.. ukiachilia muda ambao nitakuwa nimempotezea, NAMPENDA SANA na moyo umeridhia kuwa na nae kwa hali yoyote ile.
Ahsante...
 
Hongera sana kwa kuwa na upendo wa dhati na Mungu akubariki!

Nikupe angalizo tu,sema hamjawahi kusex naye swala la yeye kutosex tokea kazaliwa ukweli anao yeye mwenyewe.Au utajua siku mkisex naye mpendwa.
 
Aisee ahsante nimejifunza kitu hapa...
 
Hongera sana kwa kuwa na upendo wa dhati na Mungu akubariki!

Nikupe angalizo tu,sema hamjawahi kusex naye swala la yeye kutosex tokea kazaliwa ukweli anao yeye mwenyewe.Au utajua siku mkisex naye mpendwa.

Sawa asante ila ninauhakika na hili...
 
Kutokana na maendeleo ya teknolojia,kwa suala la watoto inawezekana kupatikana kwa njia ya kupandikiza mbegu, na sex mukawa munafanya kwa kutumia kinga, ila kusema awe wet ndio uingie bado ni probability sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…