hapo mbona rahisi tu, mtoto tumboni anajitegemea kila kitu na hasa mfumo wa damu na hategemei mama yake isipokuwa virutubisho vingine ambavyo navyo ili viingie kwa mtoto huchujwa sana na umbilical cord au kondo la nyuma na kuruhusu tu kile kinachotakiwa na mtoto tu. Kwa hiyo hakuna kijidudu chochote kinaweza kukatiza hapo na kumfikia mtoto. ingawa kama afya ya mama ni dhaifu mtoto aweza kuathirika lakini uwezekana ni mdogo sana sana, watoto wengi huathirika wakati wa kuzaliwa iwapo hali ya mama haijulikani au kama inajulikana na wauguzi hawakuwa makini