VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Omary Ndama,
Utafanya watu wavitafute hivyo ARV maana wabongo ukiwaambia story kama hizo lazima demand iongezeke
 
Wewe ndio hujielewi kuvamia vitu usivyokuwa na uelewa navyo
Ndugu yangu virusi wanakuwa named kulingana na magonjwa wanayosababisha Mfano measles virus, MUMPS virus, Ebola virus, HIV, SARS virus nk nk...

Maswali yako yanaonyesha hata unachouliza hukijui
 
Hv sisi watu wa blood group O mbna watu wanasema sio rahis sisi kupata HIV

Coz nilipiga mtu pumbu mwenye ngomaa (2011-2014) toka brakeup sasa hadi leo sina ngomaaa

Vp niendelee kupiga mambo au vp tupo ushauri
 
Hv sisi watu wa blood group O mbna watu wanasema sio rahis sisi kupata HIV

Coz nilipiga mtu pumbu mwenye ngomaa (2011-2014) toka brakeup sasa hadi leo sina ngomaaa

Vp niendelee kupiga mambo au vp tupo ushauri
Huo ni uzushi. Chukua tahadhari daima. Kukoswa na nyoka sio kwamba huyo Nyoka hana sumu
 
Nafikiri hujui kitu juu ya HIV. NAFIKIRI. MAANA HUNA UNACHOKIJUA NA KUJIFUNZA HUTAKI. HIVI Mtu asiyetaka kujifunza huitwaje kwa kiswahili
 
Kwanza lazima ujue ili ugonjwa wowote umuambikize mtu lazima apate kiasi cha kutosha kusababisha maambukizi hii kwa kitaalam inaitwa infectious dose
 
Maswali yapo mengi sana ila naomba Nianze na hili
> Unawazungumziaje wale wataalam/madakitri bingwa ambao wanapinga kuhusu HIV na AIDS
 
Usibishe mkuu wapo wengi sana tena madaktari wajuvi zaidi ya wewe na scientific paper zao zipo.Ukizihitaji naweza kuweka hapa.
Swali linarudi palepale
Hakuna daktari aliyepita medical school anayekataa juu ya VVU na UKIMWI, huyo atakuwa mganga wa kienyeji. Hayupo hapa duniani. Nitafutie paper moja kutoka PubMed au journal yoyote mfano Lancet. Tatizo kila mkiona vitu Google mnaamini. Hamjui wapi pa kupata information kwa usahihi
 
Elimu ni Bahari waswahili wanasema, haina mipaka kokote inaweza kupatikana endapo ni validity haina tatizo.
Kama unavyojinasabu wewe ni daktari Je haujawahi kuwasikia hawa watu wanapinga hiv/aids.
Ukimwi upo hilo sina shaka nalo, Je unaweza kunielezea huyo virus analeta vipi ukimwi?
Naweka paper soon
 
Sijajinasibu kama mimi ni daktari. Ninachokueleza ni kwamba hakuna daktari aliyepita medical school anayekataa juu ya VVU na UKIMWI.
 
Weka mkuu tujisomee
 
Nasubiri hiyo paper yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…